Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

Kuiondoa Serikali ya CCM ni ngumu hata kama kukiwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, maana wanashikilia majeshi.

Njia pekee ni coup d'etat itakayofanywa na wanajeshi wenyewe.
Kwa jeshi lipi? La hawa waseminari akina mabeyo, yule Agp mstaafu? Wewe unaota ndoto za mchana.
 
Mtakapomaliza wa kuwahoji sijui nini kitafuata.
Mana mnaowahoji hao wote hawahusiki na hiyo bandari.
Wenye bandari yao ni waswahili wa Pwani. Sasa nyie mnaenda kuwahoji wa kuja
 
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu..
1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au
2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili.
Option ya 2 ndo inayoendelea
 
Ruhusa ya kuzungumza ambayo Mh Rais kaitoa hajatoa kama hisani,bali ni Haki ya Kila mwananchi kutoa maoni,tatizo Haki hiyo imechukuliwa na wajanja Kisha wanakuja kupotosha wananchi,lazima serikali isimame na msimamo wake
 
We mwanamke unaonekana una boto kubwa kuliko la mwanamke yeyote ulimwenguni. Spinning ya konyo
 
Vision aliyokuwa nayo baba wa taifa mwalimu Nyerere ni watanzania wenyewe watumie rasilimali zao kujenga nchi na uchumi wao, siyo genge la watawala wapige nchi mnada kukidhi tamaa binafsi ya maisha ya kifahari wao na vizazi vyao.​
 
Jaribu uone chizi wewe
kichaa anapomuona mtu mwenye akili kuwa 'chizi', hilo halishangazi.

Sasa hapa unasema "nijaribu"?

Mimi sitajaribu, ila wapelekee habari hao wanaokufuga na kukuwezesha kuja hapa ukumbini, kwamba wakati wenu wa kuadabishwa umewadia.
Safari hii hamponi.
 
Kwa jinsi CCM ilivyo geuka chama cha wapigaji, sidhani kama watasikia kilio hiki kutoka kwa waasisi wa TANU na hatimaye CCM mwaka 1977.
Kutosikia kwao ndiyo mauti yao.
 
Kuiondoa Serikali ya CCM ni ngumu hata kama kukiwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, maana wanashikilia majeshi.

Njia pekee ni coup d'etat itakayofanywa na wanajeshi wenyewe.
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeffs O'Brien.

[Emphasis is added]
 
CCM wengi wao hawataki ni wale viongozi wachache waliopokea rushwa ndiyo wanataka huo mkataba
 
Huyu mwanamke SSH anachokitafuta atakipata! Asitufanye watanganyika wajinga. Leo nimesikia kauli ya pamoja ya kamati kuu ya CCM (NEC) kuwa mkataba wa uuzwaji wa bandari kwa DP World huko palepale bila kujali lolole!
Unadhani hata anajua kilichopo humo ndani? yeye naye anasikia tu kama sisi kuna mkabata lakini hajui hata ni nini huko ndani
 
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeffs O'Brien.

[Emphasis is added]
Hii ni nzuri maana inaenda kutupeleka kwenye maandamano ya bila kikomo
 
Sina hakika kivipi lakini hii mada imenifanya niikumbuke hii picha na kelele nyingine zilizowahi kutolewa kuhusu hatari ya “utawala wa waarabu na machotara wao” kurejea Zanzibar!

CCM ni ile ile.

 
Kwa nini chuo kikuu kilimpa saa100 PhD Kiliona ni kitu gani amefanya au kikwete ndo alishinikiza apewe
 
Hivi yule msaliti aliyeamua kuzurura nje ya nchi amesharudi, au bado anapuyanga huko nje?

Amekosa muelekeo wa kuliongoza taifa, hajielewi kabisa.
 
Hivi yule msaliti aliyeamua kuzurura nje ya nchi amesharudi, au bado anapuyanga huko nje?

Amekosa muelekeo wa kuliongoza taifa, hajielewi kabisa.
Mkataba wa BANDARI ni WAHOVYO Wajinga wanaushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…