TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

Limejitia mastress mwishowe limekufa mapema,


Tupo na Samia Hadi 2050
 
Hifadhi wahanga

that is my message to you

the man is not here - but his wife is, so all you are doing is opening wounds Kwa mama ambaye si ajabu hata haumfahamu

don’t try to be holy and perfect mkuu… it serves nothing buddy

we unajuaje huyu Mama anataka matabia kama haya yabaki siri ?

what if she is a liberated woman who felt so painfully and grotesquely violated na anataka huu ushenzi na ufidhuli wa wanaume uwe exposed na ukome ?

how do you know amesamehe na kusahau na kuchukulia ni poa tu, mume kafanya basi yamepita ?

the heck do you know ?????
 
Pamoja na yote hayo, laxima mwanaume afurahishwe ama sivyo atachepuka. Huenda hiyo ndiyo sababu ya wanawake wa kichagga hupelekwa migamboni huku mwanaume akiishi mwenyewe kwa jina la klutafuta kumbe ni kumpisha nyumba ndogo inayojuwa kumfurahisha.
 
Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani

mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki

tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika
Yeye hakuwaheshimu wewe ndiyo utaweza!
 
Did you have that sympathy to Magufuli's family? Au mkuki kwa nguruwe.
 
Msiba upon pale pale mabwawani mikocheni ? Pole Omega pole nguza pole dafu. R.I.P Mzee Assey.
.
Nakumbuka tukila weed bwawa la. Mwisho kule lzm uje kutukimbiza .sema ulikua mkuda na baiskeli yako
 
Hilo ni kweli hata darasa la 7 maarifa aliyonayo utadhani sio mtz
 
Ni ndugu yangu
 
Mbona na wewe huwa unamsema mbofumbofu JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…