TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

Kwa wenye roho mbaya dhidi ya CCM au makabila mengine aliwalipa roho mbaya na walikoma sasa hivi wengi wamebadilika roho mbaya kwa CCM iwe maofisini nk Roho mbaya imewatoka wanaheshimu CCM na makabila mengine yasiyo yao. MAGUFULI ALIWANYOOSHA BARABARA

Kwa hilo nampongeza Magufuli heshima ya kuheshimu CCM na makabila mengine yasiyo yao imerudi Mungu alimtumia Magufuli kuwatandika viboko wajue binadamu wote Sawa. SASA HIVI NI WANYENYEKEVU NA WAPOLE KILA ENEO JEURI ZA KIKABILA CHAO ZILIULILIWA MBALI NA MAGUFULI WANAUGUZA TU VIDONDA NYOKO ZAO
Limejitia mastress mwishowe limekufa mapema,

Tupo na Samia Hadi 2050
 
Hifadhi wahanga

that is my message to you

the man is not here - but his wife is, so all you are doing is opening wounds Kwa mama ambaye si ajabu hata haumfahamu

don’t try to be holy and perfect mkuu… it serves nothing buddy

we unajuaje huyu Mama anataka matabia kama haya yabaki siri ?

what if she is a liberated woman who felt so painfully and grotesquely violated na anataka huu ushenzi na ufidhuli wa wanaume uwe exposed na ukome ?

how do you know amesamehe na kusahau na kuchukulia ni poa tu, mume kafanya basi yamepita ?

the heck do you know ?????
 
halafu mnawaita wezi.Kuna kiongozi mmoja(RIP) alikuwa ana dhana kuwa wachaga wote ni wezi kumbe ni wachapa kazi ni waoga sana wa maisha hata mwanamke wa kichaga ukioa utaona faida yake hachagui kazi ya kufanya kwa kuona aibu.Makabila mengine yanawaza kushindana kununua khanga na kucheza ngoma.Jinsi ya kumfurahisha mwanaume kwa ngono.
Pamoja na yote hayo, laxima mwanaume afurahishwe ama sivyo atachepuka. Huenda hiyo ndiyo sababu ya wanawake wa kichagga hupelekwa migamboni huku mwanaume akiishi mwenyewe kwa jina la klutafuta kumbe ni kumpisha nyumba ndogo inayojuwa kumfurahisha.
 
Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani

mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki

tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika
Yeye hakuwaheshimu wewe ndiyo utaweza!
 
Two wrongs don’t make it right

never

Kama nimekukosea, na kosa lileikajudhilisha wewe, basi hakuna faida ya mpita njia kuendelea kuliongelea hasa in my absence

kwasababu mkosaji sipo, unayemtonesha ni mhanga tu

let’s have sympathy for any victim mkuu

usibariki dhalili
Did you have that sympathy to Magufuli's family? Au mkuki kwa nguruwe.
 
Msiba upon pale pale mabwawani mikocheni ? Pole Omega pole nguza pole dafu. R.I.P Mzee Assey.
.
Nakumbuka tukila weed bwawa la. Mwisho kule lzm uje kutukimbiza .sema ulikua mkuda na baiskeli yako
 
halafu mnawaita wezi.Kuna kiongozi mmoja(RIP) alikuwa ana dhana kuwa wachaga wote ni wezi kumbe ni wachapa kazi ni waoga sana wa maisha hata mwanamke wa kichaga ukioa utaona faida yake hachagui kazi ya kufanya kwa kuona aibu.Makabila mengine yanawaza kushindana kununua khanga na kucheza ngoma.Jinsi ya kumfurahisha mwanaume kwa ngono.
Hilo ni kweli hata darasa la 7 maarifa aliyonayo utadhani sio mtz
 
we unajuaje huyu Mama anataka matabia kama haya yabaki siri ?

what if she is a liberated woman who felt so painfully and grotesquely violated na anataka huu ushenzi na ufidhuli wa wanaume uwe exposed na ukome ?

how do you know amesamehe na kusahau na kuchukulia ni poa tu, mume kafanya basi yamepita ?

the heck do you know ?????
Ni ndugu yangu
 
Two wrongs don’t make it right

never

Kama nimekukosea, na kosa lileikajudhilisha wewe, basi hakuna faida ya mpita njia kuendelea kuliongelea hasa in my absence

kwasababu mkosaji sipo, unayemtonesha ni mhanga tu

let’s have sympathy for any victim mkuu

usibariki dhalili
Mbona na wewe huwa unamsema mbofumbofu JPM
 
Back
Top Bottom