TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

Hivi mzee watoto sijawahi kuwasikia kwenye siasa au aliwakataza ?
 
Wazazi hujitoa mhanga siasani Ili watoto wapate chakula!!na kuwalinda wasiingie matatizoni!!
Hivyo vyeo vya jamaa unavielewa!!?yaani PM ,halafu makam wa kwanza was Rais yaani pension mbili Kwa mpigo!unaijua gharama yake!!?!!!?
Mhhh mhhh
Sio kwamba anakula pension ya cheo kilicho kikubwa , sijui sana mambo ya standing order lkn sidhani kama alikua anachukua pension mbili kwa wakati mmoja.
Niuliza hivo kwa sababu sijawahi kusikia watoto wake kama ilivyo kwa Nyerere, Kawawa, Sokoine , Kolimba, Lowasa, Malecela , Sumawe, Mwinyi , Mkapa,Karume ,Kikwete ,Makamba, nk yaani ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka kwake sijaona watoto wake na Salim siwaoni siasani
 
Ukitaja umri wako elimu yako na uraia wako utatusaidia wengi kuepuka dhambi ya matusi.

Vitaje hivyo vitu vitatu hapo juu kwanza nikupe jibu.
Duh tusifike kwenye matusi, ila mleta mada mwanzo hakuweka maelezo yoyote wala video. Baadae ndo kaweka mambo sawa
 
Rip Msuya...
 
Poleni sana sana wanafamilia na watu wa huko pare. hiyo picha akiwa kwenye wheelchair imenifikilisha sana.kwamba kuna watu saa hizi wanatesa wenzao kwa kutumia cheo alicho nacho.ila mwisho unaweza kuwa hivyo tuu na halafu kifo.Wanadamu duniani tunapita tuu.hata ukiwa na kila kitu cha kusaza ila mwisho utamhitaji mwezako akusaidie na hatimaye utakufa.Mungu atusaidie tuache kiburi cha uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…