Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Hivi nyinyi mnawaza vipi?
Huyu jamaa, alitengenezewa mazingira ya kushinda kirahisi. Kafanywa mgombea pekee. Wapiga kura wamemkataa. Mlitaka uongozi kama Chama ufanyeje?
Ajitafakari yeye mwenyewe! Ajione yeye ni MBUZI kwenye kundi la KONDOO.
Tatizo Kama niluvyoliona,sumayi alikuwa Bado hajaaminiwa cdm,amefanya papara sana mpaka machale yakawacheza,
Ukitaka uwe plant mzuri sharti uwe na subira
 
Hana Jipya kwenye siasa za Tanzania akafie mbele alizoea kubebwa ccm miaka yote.

Uyu alikuja chadema kimkakati kumzuia Lowassa asiende Ikulu.
Mmmmmmm Leo imekuwa hivi tena! Hatar sana, viongozi hawa walipohamia CDM mlisema wataindoa CCM maana wametoka ndani ya System hivyo wanaijua vizuri CCM (nje ndani). Leo hii mmebadilika tena.
 
Hana Jipya kwenye siasa za Tanzania akafie mbele alizoea kubebwa ccm miaka yote.

Uyu alikuja chadema kimkakati kumzuia Lowassa asiende Ikulu.
Hahahaha sasa angemuzuiaje tena wakati walikuwa wote huko?
 
Huyu ndiye Mwenyekiti wetu wa kudumu mwenye vision miaka yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1575451433007.jpeg
 
Kipi hujaelewa.kuhusu matamshi ya Sumaye?,au unatatizo la mtindio wa Ubongo? jd41,
 
Mmmmmmm Leo imekuwa hivi tena! Hatar sana, viongozi hawa walipohamia CDM mlisema wataindoa CCM maana wametoka ndani ya System hivyo wanaijua vizuri CCM (nje ndani). Leo hii mmebadilika tena.
Swali zuri lakini wangepewa muda wafanye mipango yao ndani kwa ndani sasa kama hata vyeo wananyimwa wafanyeje? Lazima ukae huko kimukakati .
 
Roving Journalist,
Kwa hili la mbowe kubaki madarakani tena kwangu si sawa hata kidogo chadema nimeanza kupoteza iman nanyi kama ilivyo kwa ccm
 
Mr.Junior, Wewe akili zako zinakuambia CCM inaendelea kutawala kwa vile Mbowe ni mwenyekiti?
Kama akili inakutuma hivyo, basi nenda Muhimbili kafanyiwe scan pengine ubongo umehamia utumbo mpana na hapo kwenye fuvu kuna furushi toka utumbo mpana
 
Tangu mimi form six hadi sasa ni professional with 8 year in job. Kumbuka shule nimesoma 6 yrs. Can you imagine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbowe amakaa madarakani kwa Muda gani
 
Ni vigumu kuwaelewa hawa wana siasa. Hata kuwaamini hawaaminiki.

Ana mshahara wa uwaziri mkuu. Amependeza hivyo, mwambieni atulie.
 
Swali zuri lakini wangepewa muda wafanye mipango yao ndani kwa ndani sasa kama hata vyeo wananyimwa wafanyeje? Lazima ukae huko kimukakati .
Tukubaliane kwamba CDM haina mkakati endelevu wa kupigania Democracy, viongozi wengi wa kisiasa wapo kwa maslahi yao binafsi na sio ukombozi wa wananchi kama wanavyotuaminisha
 
Tatizo Kama niluvyoliona,sumayi alikuwa Bado hajaaminiwa cdm,amefanya papara sana mpaka machale yakawacheza,
Ukitaka uwe plant mzuri sharti uwe na subira

Tumeona kwa Zitto, sasa kwa Sumaye, unataka kusema Zitto nae hakuaminiwa Chadema? Tatizo ni Mbowe sio mtu yeyote, CDM ni saccos ya watu nyie hamuelewi tu
 
Wewe akili zako zinakuambia CCM inaendelea kutawala kwa vile Mbowe ni mwenyekiti?
Kama akili inakutuma hivyo, basi nenda Muhimbili kafanyiwe scan pengine ubongo umehamia utumbo mpana na hapo kwenye fuvu kuna furushi toka utumbo mpana

Nyinyi ndio mitaji ya wanasiasa kazi yenu ni kusifia wenyeviti wenu.

Wote rangi moja sio ccm wala cdm.

............Siku akili zikiwakaa sawa mshatumiwa kama kondomu.
 
Kujiweka pembeni au kujitoa ktk siasa bila kuelezea kwa kina tofauti ya imani yake ya kiitikadi na CHADEMA ni ishara tosha Mzee Fredrick Sumaye alikuwa CHADEMA bila ya kuwa mpinzani wa kisiasa wa kweli wa CCM.

Visingizio vingi sana kwa hawa wazee kama Fredrick Sumaye, Prof. Abdallah Safari na Edward Lowassa, ukweli mikiki mikiki ya kisiasa hawaiwezi. Hoja ya kuhofia usalama wake ni muflisi.

Wote tunajua kuwa Mwenyekiti wa chama kitaifa wa chama kikuu cha upinzani siyo ngoma ya lelemama, nawapongeza wana Kanda ya Pwani ya CHADEMA mlivyomfanyia vetting Mzee huyu kuwa hafai hata kuongoza kanda.

Hapa Mzee Fredrick Sumaye alikuwa anasubiria kisingizio chochote ili ajitoe katika 'siasa' ili kulinda mali zake kama mashamba n.k yaliyokabiliana na mbinyo na michezo michafu ya siasa za CCM.

Nitakuwa wa mwisho kuamini waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye anahofia 'usalama' wa maisha yake wakati dola inatoa ulinzi kwake popote alipo masaa 24, posho, matibabu, usafiri, safari, makazi na marupurupu kuitunza familia yake pia inatolewa na serikali yoyote iliyopo madarakani kama inavyoainishwa na kutamkwa katika katiba ya nchi kuhusu wastaafu wa ngazi yake.
 
Back
Top Bottom