MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Mkuu kwa hiyo kwa uelewa wako tatizo ni mradi wenyewe, kukosekana kwa uwazi au vyote?Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Kikwete hakunena chochote enzi za Magufuli.“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Tayari Samia Suluhu amepata uzoefu kwa miaka 5, atakuwa mwenyekiti mzuri, atakuwa Rais mzuri. Kushinda uchaguzi CCM msingi wake ni yale tuliyoahidi, tilivyotekeleza, mimi naamini Serikali ya awamu ya sita itafanikiwa kutekeleza sehemu kubwa.” Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete
Chanzo: EATV
Terms haziwekwi wazi.Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Aliongea sana akasemwambia anawashwa washwa umeshahau kujimwambafai?Kikwete hakunena chochote enzi za Magufuli.
Ila leo msemaji
Wewe ni mdogo wake, au wa Samia, au HB wao?Terms haziwekwi wazi.
Bandari itajengwa.
Na hautafanya chochote.
Kama ambavyo magu alijenga uwanja wa ndege chato na waliohoji hawakufanya chochote.
Ewaaaaaa. Hata wasipojenga hakuna atakachopata. Hizi ni roho za husdaTerms haziwekwi wazi.
Bandari itajengwa.
Na hautafanya chochote.
Kama ambavyo magu alijenga uwanja wa ndege chato na waliohoji hawakufanya chochote.
Uwazi.Mkuu kwa hiyo kwa uelewa wako tatizo ni mradi wenyewe, kukosekana kwa uwazi au vyote?
Ndiye Mzee wa chama aliyebaki. Kwa vyovyote CCM wanamsikiliza yeye, maana Mwinyi kwasasa hajielewi.Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Mzee?! Mangula, Makamba, Kinana...au bado wamesusa!.Ndiye Mzee wa chama aliyebaki. Kwa vyovyote CCM wanamsikiliza yeye, maana Mwinyi kwasasa hajielewi.
“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Tayari Samia Suluhu amepata uzoefu kwa miaka 5, atakuwa mwenyekiti mzuri, atakuwa Rais mzuri. Kushinda uchaguzi CCM msingi wake ni yale tuliyoahidi, tilivyotekeleza, mimi naamini Serikali ya awamu ya sita itafanikiwa kutekeleza sehemu kubwa.” Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete
Chanzo: EATV
We Kama nani Kwanza hadi ulete masharti yote ayo,, nyinyi Rais wenu mungu mtu ashakufaHivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Hahahhaha mwinyi network busy 😂😂😂 anacheka cheka tu!Ndiye Mzee wa chama aliyebaki. Kwa vyovyote CCM wanamsikiliza yeye, maana Mwinyi kwasasa hajielewi.
Zaidi ya kuja kuliakulia hapa JF.Wewe ni mdogo wake au wa Samia au HB wao?
Ni wazee pia lakini Kikwete amewahi kuwa Rais, na mwenyekiti wa chama.Mzee?! Mangula, Makamba, Kinana...
Umeshazoea kukanyagwa kichwani. Pole.Zaidi ya kuja kuliakulia hapa JF.
Hautakuwa na la kufanya bandari itakapojengwa.