MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Tayari Samia Suluhu amepata uzoefu kwa miaka 5, atakuwa mwenyekiti mzuri, atakuwa Rais mzuri. Kushinda uchaguzi CCM msingi wake ni yale tuliyoahidi, tilivyotekeleza, mimi naamini Serikali ya awamu ya sita itafanikiwa kutekeleza sehemu kubwa.” Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete
Chanzo: EATV