Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

ungejiuliza kwann wewe leo unajua ufisadi uliokuwepo kipindi cha Kikwete ?
 
Hiyo nadharia ya uchumi wa kati...wewe poyoyo kama mimi...lofa na pumbavu imekubadilishia maisha!??
 
Kwahiyo kikwete anapingana na world bank?
 
Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
 
Mkuu Mimi nimeandikaje hapo ulipoquote? Je target yetu ilikuwa kuingia uchumi wa kati au kufikia wastan wa USD 3000.00 kwa kila mtanzania. Nafikiria kufungua ofisi na duka la mke wangu labda October Ila nikifanya assessment na kuona hali bado mbaya tutaendelea kukaa home
 
Mbona swali ka kijinga sana hili?

Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!

Nini hujaelewa hapo?
Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.
 
ila JK bhana, anataka mwenzie alie mara mbili (msiba plus kuumbuliwa kuhusu dhana ya uchumi wa kati)
 
Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
Mkuu Tanzania 2025 strategic development plan na indicators na targets zake zinazopaswa kufikiwa hazijategenezwa na WB bali watanzania wenyewe through serikali yao.Kwa hiyo WB waamini kwamba nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati kwa kipato Cha USD 1028.00 kwa kila mtanzania Ila target yetu Kama taifa ni uchumi wa kati ambao kipato Cha mtanzania ni usd 3000.00
 
Chadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa koko
 
Yeye mwenyewe kabemenda miundombinu yake mpaka basi halafu anajitetea upuuzi. Uchumi ni miundombinu na yeye miundombinu aliibemenda anategemea nini. Mipango siyo matumizi. Atuambie yeye alifanyaje kama si utapeli anafanya.
Miundombinu ni chachu ya uchumi ila sio uchumi, babu yenu jiwe mpenda sifa tumpongeze ktk miundombinu kafanya vizuri ila akubali ushauri kuwa in Ldc's kilimo na viwanda ndo uchumi, uchumi unakua kwa kuweka kipaumbele ktk sekta zinazohusika na uzalishaji moja kwa moja
 
Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.
Mzee hapa tunaongelea nini?

Tunaongelea mpango wa maendeleo au mada inayosema Kikwete kakansha tz kuingia kundi la nchi za uchumi wa kati?
 
Chadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa koko
Endelea kucoment ukiwa sebuleni kwa shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…