Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mataga hawaamini wanachosikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kutikana na hilo jk kasema atamsaidia Kisu kukampeni ili aende ikulu ama nini?Mataga hawaamini wanachosikia
ungejiuliza kwann wewe leo unajua ufisadi uliokuwepo kipindi cha Kikwete ?Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Umeme je unabisha kwamba ulikuwa haueleweki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
Kwani Kisu anagombea?Kwamba kutikana na hilo jk kasema atamsaidia Kisu kukampeni ili aende ikulu ama nini?
Hiyo nadharia ya uchumi wa kati...wewe poyoyo kama mimi...lofa na pumbavu imekubadilishia maisha!??Namnukuu Kikwete:
Tumeshafika kwenye uchumi wa kati lakini si kwa lengo lile la Mkapa la pato la dola elfu 3
Sasa mabavicha yanavyocoment hapa ni kama vile Kikwete amecrash tangazo la WB la tz kufikia uchumi wa kati.
Alafu akietangza uchumi wa kati si Magufuli bali ni WB.
Kwahiyo kikwete anapingana na world bank?MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Mkuu Mimi nimeandikaje hapo ulipoquote? Je target yetu ilikuwa kuingia uchumi wa kati au kufikia wastan wa USD 3000.00 kwa kila mtanzania. Nafikiria kufungua ofisi na duka la mke wangu labda October Ila nikifanya assessment na kuona hali bado mbaya tutaendelea kukaa homeKwahiyo kwa akili yako WB wanafiatisha mpango uliowekwa na nchi au wao wemyewe wana vigezo vyao ambavyo ndio hivyo vilivyotumika kuitangaza tz?
Alafu mbona Kikwete alikuwa clear kabisa? Kwamba pamoja na kwamba tumingia kundi la nchi za uchumi wa kati lakini hatujafikia lengo akiloweka Mkapa kwamba tufikie tukiwa na pato la dola elf 3 by 2025
.narudia ilikuwa ni mapngo uliowekwa na Mkapa, sasa kigumu ni kipi hapo?
Au lockdown imekufanya akili ifubae?
Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.Mbona swali ka kijinga sana hili?
Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!
Nini hujaelewa hapo?
Kuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
Ndio maana tokea napata akili sijawahi kuwa mtu ninae tamani kuwa Mpinzani ,wapinzani watanzania ni wale watu wenye hulka ya chuki na watu wenye mafanikio Tu sio kingine
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Mkuu Tanzania 2025 strategic development plan na indicators na targets zake zinazopaswa kufikiwa hazijategenezwa na WB bali watanzania wenyewe through serikali yao.Kwa hiyo WB waamini kwamba nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati kwa kipato Cha USD 1028.00 kwa kila mtanzania Ila target yetu Kama taifa ni uchumi wa kati ambao kipato Cha mtanzania ni usd 3000.00Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
mzee wa Msoga si wa kispotisoptiila JK bhana, anataka mwenzie alie mara mbili (msiba plus kuumbuliwa kuhusu dhana ya uchumi wa kati)
Chadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa kokoMkuu chadema wengi wa humu wanacoment wakiw wamejilaza kwenye sofa za sebuleni kwa shemeji zao! Mambo ya uchumi watajulia wapi?
Bando zenyewe wanazotumia wamenunulia jero jero walizobana baada ya kutumwa kununua nyanya gengeni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Miundombinu ni chachu ya uchumi ila sio uchumi, babu yenu jiwe mpenda sifa tumpongeze ktk miundombinu kafanya vizuri ila akubali ushauri kuwa in Ldc's kilimo na viwanda ndo uchumi, uchumi unakua kwa kuweka kipaumbele ktk sekta zinazohusika na uzalishaji moja kwa mojaYeye mwenyewe kabemenda miundombinu yake mpaka basi halafu anajitetea upuuzi. Uchumi ni miundombinu na yeye miundombinu aliibemenda anategemea nini. Mipango siyo matumizi. Atuambie yeye alifanyaje kama si utapeli anafanya.
Mzee hapa tunaongelea nini?Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.
Endelea kucoment ukiwa sebuleni kwa shemeji yakoChadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa koko
Mkuu keyboard yako haina auto-correction?Dah JK, huyu jamaa historia ya nchi hii ilipo na ilipotoka anaijua utafikiri jamaa ni Encyclopaedia