Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Umeme je unabisha kwamba ulikuwa haueleweki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
ungejiuliza kwann wewe leo unajua ufisadi uliokuwepo kipindi cha Kikwete ?
 
Namnukuu Kikwete:

Tumeshafika kwenye uchumi wa kati lakini si kwa lengo lile la Mkapa la pato la dola elfu 3

Sasa mabavicha yanavyocoment hapa ni kama vile Kikwete amecrash tangazo la WB la tz kufikia uchumi wa kati.

Alafu akietangza uchumi wa kati si Magufuli bali ni WB.
Hiyo nadharia ya uchumi wa kati...wewe poyoyo kama mimi...lofa na pumbavu imekubadilishia maisha!??
 
MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.

Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.

Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Kwahiyo kikwete anapingana na world bank?
 
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.

Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.

Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.

Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.

Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
 
Kwahiyo kwa akili yako WB wanafiatisha mpango uliowekwa na nchi au wao wemyewe wana vigezo vyao ambavyo ndio hivyo vilivyotumika kuitangaza tz?

Alafu mbona Kikwete alikuwa clear kabisa? Kwamba pamoja na kwamba tumingia kundi la nchi za uchumi wa kati lakini hatujafikia lengo akiloweka Mkapa kwamba tufikie tukiwa na pato la dola elf 3 by 2025
.narudia ilikuwa ni mapngo uliowekwa na Mkapa, sasa kigumu ni kipi hapo?

Au lockdown imekufanya akili ifubae?
Mkuu Mimi nimeandikaje hapo ulipoquote? Je target yetu ilikuwa kuingia uchumi wa kati au kufikia wastan wa USD 3000.00 kwa kila mtanzania. Nafikiria kufungua ofisi na duka la mke wangu labda October Ila nikifanya assessment na kuona hali bado mbaya tutaendelea kukaa home
 
Mbona swali ka kijinga sana hili?

Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!

Nini hujaelewa hapo?
Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.
 
ila JK bhana, anataka mwenzie alie mara mbili (msiba plus kuumbuliwa kuhusu dhana ya uchumi wa kati)
 
1596033054744.png
 
Kuna watu mbwiga kweli.

Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.

Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
Ndio maana tokea napata akili sijawahi kuwa mtu ninae tamani kuwa Mpinzani ,wapinzani watanzania ni wale watu wenye hulka ya chuki na watu wenye mafanikio Tu sio kingine

World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.

Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
 
Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
Mkuu Tanzania 2025 strategic development plan na indicators na targets zake zinazopaswa kufikiwa hazijategenezwa na WB bali watanzania wenyewe through serikali yao.Kwa hiyo WB waamini kwamba nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati kwa kipato Cha USD 1028.00 kwa kila mtanzania Ila target yetu Kama taifa ni uchumi wa kati ambao kipato Cha mtanzania ni usd 3000.00
 
Mkuu chadema wengi wa humu wanacoment wakiw wamejilaza kwenye sofa za sebuleni kwa shemeji zao! Mambo ya uchumi watajulia wapi?

Bando zenyewe wanazotumia wamenunulia jero jero walizobana baada ya kutumwa kununua nyanya gengeni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa koko
 
Yeye mwenyewe kabemenda miundombinu yake mpaka basi halafu anajitetea upuuzi. Uchumi ni miundombinu na yeye miundombinu aliibemenda anategemea nini. Mipango siyo matumizi. Atuambie yeye alifanyaje kama si utapeli anafanya.
Miundombinu ni chachu ya uchumi ila sio uchumi, babu yenu jiwe mpenda sifa tumpongeze ktk miundombinu kafanya vizuri ila akubali ushauri kuwa in Ldc's kilimo na viwanda ndo uchumi, uchumi unakua kwa kuweka kipaumbele ktk sekta zinazohusika na uzalishaji moja kwa moja
 
Na lengo let kwenye 2025 development plan anayoteleza Magufuli ilikuwa ni Nini? Kutangazwa na WB au kipato Cha USD 3000.00.
Mzee hapa tunaongelea nini?

Tunaongelea mpango wa maendeleo au mada inayosema Kikwete kakansha tz kuingia kundi la nchi za uchumi wa kati?
 
Chadema wengi ni wale walioenda shule kutafuta ujuzi na maarifa na si sawa na wanaccm wanaoenda kutafuta vyetu shule ili wateuliwe,ndo maana wanaccm wasipopata nafasi za uteuzi hawawezi fanya kazi nyingine zaidi ya kuishi Kama mbwa koko
Endelea kucoment ukiwa sebuleni kwa shemeji yako
 
Back
Top Bottom