Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Huyo mtu anakumbukwa sana tu, shida yenu inakuja pale ambapo hamtaki kusikia na wengine......kwamba nyie mnataka atajwe yeye tu asubuhi, mchana, jioni na usiku wa manane. Wakitajwa na wengine pia, mmekasirika mnakuja na mimaneno yenu ya uzushi na chuki. Hapo ndipo mnapofeli.
 
Ukilinganisha na chuo gani?
Vp,unaifahamu mipango yoote ya muda mrefu kwa upande wa ujenzi na uendelezwaji wa UDOM uiweke hapa?
Pengine unayo ramani?
🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu watakutukana tu hapo, hutopata jibu.

Ili uwe mwenzao, we jiunge tu katika kulaumu na kuhisi wizi wa wengine huku ukitukuza utukufu wa mtu wao ambaye hakuwa na dosari yeyote ile.....alikuwa perfect kama malaika!
 
JPM ndio alitakiwa kuwa center of the speech sababu ni maono yake na juhudi kubwa alizofanya zilileta matokeo. Hakupewa credit aliyokuwa anastahili hata kidogo. Sasa sijui walifanya hivyo ili kumkomoa au kutaka kumpotezea kidizaini ila ni vichekesho sana. Ni ajabu mno serikali kujenga chuki ya aina hio dhidi ya kiongozi ambaye alikuwa na misimamo thabiti ya kuleta mapinduzi kimikakati na uwajibikaji katika taifa kitu ambacho kilikuwa dhahiri kwa kila mtu.

Kilichofanyika ni sawa na muhubiri kutoa neno halafu akwepe kumtaja Yesu kristo au neno Mungu. Au kuandika biblia bila kuhusisha hayo maneno mawili yesu na Mungu.

Alilala hadi kwenye mawe kipindi ikulu inaanza kujengwa na wote tulimzodoa na raba zake za mchongo 😀
 
HAKUNA awamu ya kipumbavu kama ya Kikwete, kwanza nchi ilimshinda kuongoza na watu wengi sana walitekwa na kutupwa Mabwepande wakiwa wameng'olewa kucha na pliers ama kuminywa pumbu mpaka zinabondeka kama chapati kisa tu umemkosoa. Wafanyakazi serikalini walikuwa hawafanyi kazi, ujambazi na wizi ulizidi mijini, uuzwaji madawa ya kulevya ulishamiri huku mwanaye (Ridhiwani) akiwa kinara wa hiyo biashara mpaka akalitia taifa hasara kwenda kumtoa gerezani China alipokamatwa na makontena ya madawa. Leo hii nchi imefirisiwa na Wachina kwa ajili ya uzembe wa Kikwete kusaini mikataba ya kijinga kukubaliana na conditions alizopewa na Wachina ili kumuokoa mwanaye. Kikwete si mtu ambaye anatakiwa kuonekana hadharani, hafai kwa chochote. Kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tuwakamate na kuwanyonga viongozi wapuuzi na wezi wa mali ya umma.
 
Ndiyo maana Waafrika hatuendelei, akionekana kiongozi wa maana hapa Afrika kaja na moto kama wa Magufuli LAZIMA wapuuzi serikalini watataka kummaliza ili wafanye yao kama wanavyofanya hivi sasa. Serikali inajitahidi sana kufuta legacy ya Magufuli lakini wanajidharau wenyewe kwani huku mitaani hakuna Mtanzania asiyejuwa kuwa CCM ndiyo imemmaliza JPM.
 
Na ndiyo awamu ya kipumbavu kuliko zote kutokea hapa Tanzania.....huyu ndiye ilibidi afutwe kwenye historia ya Tanzania, alikuwa very useless.
 
Povu lote hilo. Unalitoa kwa JK ambaye sio tu amekuzidi kwa kila kitu ww, ukoo wenu na kijiji chenu chote.
Unaumia bure tu.
JK ni habr nyingine kabisa. Chekibob, hazeeki, tabasamu km lote sio km lile shetani lenu la Chato liloanza kuzeeka ktk umri mdogo tu
 
Na ndiyo awamu ya kipumbavu kuliko zote kutokea hapa Tanzania.....huyu ndiye ilibidi afutwe kwenye historia ya Tanzania, alikuwa very useless.
Mfute wewe na ukoo wenu but hakuna historia ya Tanzania [emoji1241] bila JK ht umchukie vp
 
Sikatai kuwa kanizidi kwa kila kitu ila ukweli lazima usemwe tu, the guy was useless
 
Hata mzee wa rondo mlikuwa mnamsifia hivyo hivyo mara kachero mbobezi mara sijui nini kafa kaishia kuzikwa na watu wasiozidi 200 sasa mtu unajiuliza umaarufu wake ulikuwa wapi?
 
Bela katukage na lweene
 
Mkanye Jakaya Kikwete ambaye hakuwa kwenye ratiba ya kuongea leo,ikalazimishwa aongee,alichofanya ni kupambanua legacy yake kwa kueleza mambo ya UDOM na Kuala Lumpur,usiichezee legacy maazee
Zama zenu zimepita!! Acheni wenye CCM wafanye yao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…