Kuna uzi unamtaka JK ajiepushe na siasa nawe tena unakuja na uzi kuuliza mbona hajaongea ๐ yn sisi Wabongo n watu wa kulalamika tuu hata mfanyiwe lipi mtalalamika tuuPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Wewe una ubishi wa kishamba au wa kitotoakiwa naibu spika kikwete hakuwa rais. jk kaanza na spika samuel sitta na naibu anna makinda mpaka anamaliza urais,someni historia kabla ya kutoa hoja
Waache kuiba uchaguzi na mali za nchi tutaridhika.Kuna uzi unamtaka JK ajiepushe na siasa nawe tena unakuja na uzi kuuliza mbona hajaongea ๐ yn sisi Wabongo n watu wa kulalamika tuu hata mfanyiwe lipi mtalalamika tuu
Anajua slowslow akiyafumua yasiyojulikana atajaa tumbo gesi. Hili tu la marehem slowslow amemuhusisha pia, nadhan familia inajua na ndio maana kanyimwa maiki.Kikwete kagoma kumtaja Polepole safari hii amejikaza sio kawaida yake.
Of course I am, for what a life without being smart on one's own standards set?!!!!!!! And you are not different.Mkuu you looks very smart in your own stand.
Kweli nyumbu mtahangaika sana sana sana. Post ya juu tu hapo, #65, imesema jk ni useless; wewe unasema kingine kwahiyo tushike lipi enyi haters wa kikwete. Mkubali tu kuwa hamumuwezi hata mfanye nini. Wivu na fitina zenu kwake hazijawahi kuzaa matunda.Sisi tunamuongelea kiongozi wa kisiasa, huyu ni public figure. Bahati mbaya ubongo wako umejaa ujinga huelewi hata JK ana impact gani kwa taifa akifanya mambo kinyume.
I don't argue with foolsKweli nyumbu mtahangaika sana sana sana. Post ya juu tu hapo, #65, imesema jk ni useless; wewe unasema kingine kwahiyo tushike lipi enyi haters wa kikwete. Mkubali tu kuwa hamumuwezi hata mfanye nini. Wivu na fitina zenu kwake hazijawahi kuzaa matunda.
Umewaza umemalizawakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
Me too!I don't argue with fools
We babako unamfahamu? Umeshamwona? We ni mtoto wa single mama
Hata wewe ungekuwa kama yeye๐Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Ungekua ni wewe ungezungumza? Imagine umeua halafu unachukua mike uzungumze? Utajikuta umeishiwa manenoPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Alikuwa naibu Spika wa Anna Makinda. Njoo na utetezi mwingine.
Kama mzee wakoKikwete ni mzee wa ovyoo sana.
Hana busara labda vijembe
Limepangwa kuzungumza kesho wakati wa mazishi. Samia hatakuwepo. Watakuwepo yeye na Mwinyi.Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya