ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hajawahi msifia lakini pia Ukiwa Kiongozi huwezi mponda ikizingatiwa ni chama Kimoja.Nimegundua Watanzania wengi bado hatujajua haswa nini tunachokihitaji, alafu unafki umekuwa mwingi! Kikwete alimsifia sana Hayati Magufuli lakini Leo Magufuli hayupo anamgeuka na kuanza kumponda. Viongozi wa aina hii ya ni shida sana.
Kule Zanzibar vipi mbona pamemshinda kuhusiana na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, haoni Kule jahazi la CCM linazama
Mwisho wewe ulikuwa unataka bullying ya Mwendazake? Ustawi upi wa Maisha alileta ukiacha hayo mnayosemaga alijenga,alihjenga na majigambo mengi yasiyo na msingi?