imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mzee Kikwete alitukosea sana kumleta Dikteta, lakini na yeye kama Binadamu pia anakosea. au aliona Kiburi chetu kimekua na tulikuwa tunamkejeli kwa kumuita "Dhaifu" akatuletea Chizi halafu yeye huyooo akakaa pembeni😆 Daadek!Angesemaje? Huyu mzee atuletee JPM mwingine kabla hajafa, atuletee mtu haswaa tunamtegemea asife na hilo deni