stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Tulia kwanzaAnhaa, wewe ndie unapiga nae hizo dili mtu mzima mwenzio.
Hapo nimeelewa.
Alikuwa mnufaika hata awamu ya Magufuli, alijengewa hekalu na mke wake kuteuliwa ubunge na MagufuliJK lazima atoe maoni ya aina hiyo, ye ni mnufaika mkubwa wa utawala huu dhaifu awamu sijui ya 6!.
Dili zipi tena na Tulia?Tulia kwanza
Wewe huwezi kuelewaDili zipi tena na Tulia?
Mazingira yetu ya leo hapa hayamfanyi mtu kufikiria kuhamisha mtaji wake,kuhamisha shughuli zake kwenda nchi nyingine. Haya ni mambo makubwa yanayopambanua Urais wa Samia Suluhu Hassan.
Dili hewa?Wewe huwezi kuelewa
Poa poaDili hewa?
Ambiwe pia hiyo iwe katika katiba rasmi na kitaasisi, sio kutegemea aina ya mtu na fadhili za aliyeko magogoni.Mwambie Kikwete sasa tutazame present, the past is over, sio kila siku tunaimba tu the past, vipi ya present tutayafanyia kazi lini?
Wawakezaji wakubwa hawatazami mambo kwa kipindi kifupi cha miaka mitano tu, wanaangalia muda mrefu hata miaka 20 iliyopita na ijayo. Tanzania kuna udhaifu mkubwa sana katika kulinda property rights dhidi ya visasi vya watawala katika wakati wowote."Watu hawana wasiwasi, hawana wasiwasi kwamba nitakuwa salama au itakuwa salama, nitarudi nyumbani au sitarudi nyumbani. Kuna vipindi hivyo vilikuwa na mashaka. Mazingira yale hayapo. Kuna wakati mazingira hayo yakiwepo kwa kiingereza wanasema people just take it for granted. Hata wafanyabiashara leo wakigongewa mlango hawana wasiwasi kwamba baada ya kufungua mlango kutakuwa na watu kama 10 hivi, mmoja atauliza hiki na mwingine atauliza kile. Wafanyabiashara wanafanya shughuli zao kwa utulivu. Hili ni jambo kubwa sana. Kwenye mazingira ambayo ndani ya nchi kuna utulivu ndio mazingira yanachochea ukuaji wa uchumi, mazingira ya leo hapa hayamfanyi mtu kufikiria kuhamisha mtaji wake, shughuli zake au kutafuta nchi ya kwenda, hayo ni mambo makubwa yanayopambanua Urais wa @SuluhuSamia" Dkt. @jmkikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tumpe mama samia maua yake. Sijajua Jakaya alikua anamzungumzia nani lakini kusema za ukweli haya aliyoyasema kwa sasa yametulia sana.
..ameshasahau yaliyomkuta Dr. Ulimboka kule msitu wa Mwabepande, sasa anajiona mtakatifu kabisa.Ambiwe pia hiyo iwe katika katiba rasmi na kitaasisi, sio kutegemea aina ya mtu na fadhili za aliyeko magogoni.
Bado, hali inaweza kubadilika wakati wowote kutegemea na aliyeko ofisi namba au atakavyoamua siku na wakati atakaojisikia kufanya impendezavyo.Tumetoka mbali toka mbali, ainuliwe Mungu juu, ni kwa neema tu ,, neema ,na rehema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], neema