imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 21, 2024 #61 jay-millions said: Angesemaje? Huyu mzee atuletee JPM mwingine kabla hajafa, atuletee mtu haswaa tunamtegemea asife na hilo deni Click to expand... Mzee Kikwete alitukosea sana kumleta Dikteta, lakini na yeye kama Binadamu pia anakosea. au aliona Kiburi chetu kimekua na tulikuwa tunamkejeli kwa kumuita "Dhaifu" akatuletea Chizi halafu yeye huyooo akakaa pembeniš Daadek!
jay-millions said: Angesemaje? Huyu mzee atuletee JPM mwingine kabla hajafa, atuletee mtu haswaa tunamtegemea asife na hilo deni Click to expand... Mzee Kikwete alitukosea sana kumleta Dikteta, lakini na yeye kama Binadamu pia anakosea. au aliona Kiburi chetu kimekua na tulikuwa tunamkejeli kwa kumuita "Dhaifu" akatuletea Chizi halafu yeye huyooo akakaa pembeniš Daadek!