Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
na wasiotaka uchaguzi huru na wa haki je?
Mbona uongei Kuhusu Cause? The law of cause and effect. Kama hakuna haki serikalini, bungeni na mahakamani, tukimbilie wapi?
Siyo tuwanyanyapae tu bali tuwaue kama tulivyotaka kumuua Dkt KitimaUjumbe muhimu sana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
So far, sijaona kiongozi yeyote (wa kidini au wa kisiasa) anayechanganya dini na siasa. Wapo viongozi wa kidini ambao wanakemea uhuni unaofanywa katika chaguzi zetu na uonevu mwingine unaoendelea nchini. Hivyo vitendo vinavyokemewa ni dhambi kama dhambi zingine, na viongozi wa kidini wana wajibu wa kuvikemea forcefully.
Kanena vyema ila uchaguzi uwe huru na haki,acheni wizi wakora na kubaka mfumo wa uchaguzi.
tukikusema vibaya utupoteze. kwanza define kuchanganya dini na siasa....... rubbish! ndiyo maana umenyamaza watu kuua wa, kutekwa, kujeruhiwa, unalenga Kitima?
Hatuwezi kuwa viongozi wote kwa wakati mmoja.Wanasiasa chenga sana!
Viongozi wa dini kuwapamba watawala siyo kuchanganya dini na siasa ila kuwakosoa ndiyo kuchanganya!
Sasa imekuwaje msikiti kujengwa eneo la wazi coco beach? Au bakwata ni taasisi ya uma?