4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hii ya lini, mzee anaanza kuzeeka vibaya au ni kauli ya nyuma?
Hii ya lini, mzee anaanza kuzeeka vibaya au ni kauli ya nyuma?
Kwa sababu ya kiherehere chao cha kuingilia mambo ambayo ni nje ya majukumu yao licha ya kwamba hawana uwezo nayo kabisaa!Shekhe panda alinyanyaswa sana kipindi cha JAKAYA.
Mashekhe wa uamsho walikamatwa kipindi cha JK
Nakuunga mkono 100%Hatuwezi kuwa viongozi wote kwa wakati mmoja.
Pia ifike mahala tuelezane ukweli wa mambo kuwa hakuna kiongozi atakaye maliza matatizo ya wananchi na nchi kwa ujumla. Changamoto zipo isipo kuwa hubadilika tu. Kwahiyo watu wasihisi labda mtu flani akichaguliwa basi Tanzania ndio imeshakuwa huru na matatizo.
Kumbe ni wewe uliyetaka kumuua Dr kitima?! Umejificha wapi polisi wanakutafuta bado hawajajua ni wapi umejificha!Siyo tuwanyanyapae tu bali tuwaue kama tulivyotaka kumuua Dkt Kitima
Hii ni video ya mwaka 2023 mkuu.Nakumbuka Magu alipokuwa usukani alimnyanyapaa Jakaya hadi huruma.
Nadhani anataka kulipa kisasi.
kwanini wasichanganye--
2023 hiyo mkuu, lakini sheikh zuberi amewahimiza viongozi wote wa kiislam nchi nzima wafanye dua maalum kumuombea samia aweze kushinda urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akili kichwani.Hii ya lini, mzee anaanza kuzeeka vibaya au ni kauli ya nyuma?
Hata ingekuwa ya mwaka 1973 , Bado ujumbe uliomo katika video hiyo ni muhimu kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi ambapo baadhi ya wanaoitwa viongozi wa dini kama kitima na ponda kujiingiza katika mambo ambayo sio majukumu yao ya msingi!.Hii ni video ya mwaka 2023 mkuu.
Basi wanasiasa waishie kuabudu kwenye siasa na wenye dini wendelee kuabudu kwenye dini wasingiliane
Yote hiyo ni threaten watu, wenye visomo vyao akina Obama hawataki kabisa kusikia wakiitwa ProfessorKikwete hana PhD , ifike Mahali muache kumtambulisha Kwa kuanza na Dr .
Hivi kuna mpumbavu wa kumsikiliza huyo mpuuzi kizaramo anaye paka mikorogo
Kwasababu wakichanganya watatuchanganya na raia tukishachanganywa tutachanganyikiwa na kuanza kupingana , hatimaye kupigana na kuuana kwasababu kila raia atataka kumfuata mwanasiasa ambaye kiongozi wake wa dini anamkubali.kwanini wasichanganye--
Ujumbe umewafikia kuna watu wameshindwa sasa wanataka watumie dini kupata huruma
Huyo zuberi pia ana matatizo yake na hilo ulilolisema ni moja ya matatizo yake mengi tu.2023 hiyo mkuu, lakini sheikh zuberi amewahimiza viongozi wote wa kiislam nchi nzima wafanye dua maalum kumuombea samia aweze kushinda urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akili kichwani.
Mwaka huu Mungu anaingilia katiNakumbuka Magu alipokuwa usukani alimnyanyapaa Jakaya hadi huruma.
Nadhani anataka kulipa kisasi.
Tuwapuuze.na wasiotaka uchaguzi huru na wa haki je?
Thanks ,ikumbukwe anaeomba dua ni Mwanadamu tu ,so hawezi pangua mipango ya Mungu juu ya watu wake.2023 hiyo mkuu, lakini sheikh zuberi amewahimiza viongozi wote wa kiislam nchi nzima wafanye dua maalum kumuombea samia aweze kushinda urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akili kichwani.
Ila huwezi kumsikia huyo JK akikemea WIZI WA KURA, UTEKAJI, MAUAJI na UBAMBIKIZIAJI KESI za uongo unaofanywa na serikali kupitia policcmUjumbe muhimu sana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Jamaa alipotezwa kabisa 🤣🤣 !Nakumbuka Magu alipokuwa usukani alimnyanyapaa Jakaya hadi huruma.
Nadhani anataka kulipa kisasi.