Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

Nakumbuka Magu alipokuwa usukani alimnyanyapaa Jakaya hadi huruma.

Nadhani anataka kulipa kisasi.
Kulipa kisasi kwa nani na magu hayupo duniani ?!
Kama ni udini Magufuli hakuwa na udini na ukichunguza wakristo waliokuwa wanamchukia Magufuli ni wengi kuliko waislamu.
Mimi ni kati ya watu waliokuwa wakipenda sana utendaji kazi wa rais Magufuli na naona kwamba kifo chake sio pigo kwa Tanzania tu, bali KIFO CHA MAGIFULI NI PIGO KWA AFRIKA NZIMA.
 
Ila huwezi kumsikia huyo JK akikemea UTEKAJI, MAUAJI na UBAMBIKIZIAJI KESI za uongo unaofanywa na serikali kupitia policcm
Wewe unaecomment hapa, hujauawa, hujatekwa wala hujabambikiwa kesi na umekaa nyumbani kwako unaandika mambo ambayo ukiambiwa ulete ushahidi huna, baada ya hapo ukichukuliwa hatua kwa kuandika mambo ya uongo mitandaoni useme serikali mbaya!
 
Kwa hiyo mpaka atekwe, auwawe yeye, au abambikiwe kesi ndiyo atakuwa na ushahidi wa kutokea kwa hayo matukio! You are not serious at all.

Umeandika as if uko dunia nyingine hivi! Kwa hiyo hana haki ya kulalamika kupigwa na kutekwa kwa Mdude_Nyagali , Ben Saanane, kutekwa na kuuwawa kwa Mzee Kibao, na wengineo wengi!
 
Kulipa kisasi kwa nani na magu hayupo duniani ?!
Kama ni udini Magufuli hakuwa na udini na ukichunguza wakristo waliokuwa wanamchukia Magufuli ni wengi kuliko waislamu.
Mimi ni kati ya watu waliokuwa wakipenda sana utendaji kazi wa rais Magufuli na naona kwamba kifo chake sio pigo kwa Tanzania tu, bali KIFO CHA MAGIFULI NI PIGO KWA AFRIKA NZIMA.
Siyo kwa Afrika tu bali kwa dunia nzima na kwa sayari zinginezo.

Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom