Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

So far, sijaona kiongozi yeyote (wa kidini au wa kisiasa) anayechanganya dini na siasa. Wapo viongozi wa kidini ambao wanakemea uhuni unaofanywa katika chaguzi zetu na uonevu mwingine unaoendelea nchini. Hivyo vitendo vinavyokemewa ni dhambi kama dhambi zingine, na viongozi wa kidini wana wajibu wa kuvikemea forcefully.
 
Wanasiasa chenga sana!

Viongozi wa dini kuwapamba watawala siyo kuchanganya dini na siasa ila kuwakosoa ndiyo kuchanganya!
Hatuwezi kuwa viongozi wote kwa wakati mmoja.
Pia ifike mahala tuelezane ukweli wa mambo kuwa hakuna kiongozi atakaye maliza matatizo ya wananchi na nchi kwa ujumla. Changamoto zipo isipo kuwa hubadilika tu. Kwahiyo watu wasihisi labda mtu flani akichaguliwa basi Tanzania ndio imeshakuwa huru na matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…