Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
- Thread starter
-
- #41
Kulipa kisasi kwa nani na magu hayupo duniani ?!Nakumbuka Magu alipokuwa usukani alimnyanyapaa Jakaya hadi huruma.
Nadhani anataka kulipa kisasi.
Kauli ya nyuma hii akiwa Rorya mwaka juzi.Hii ya lini, mzee anaanza kuzeeka vibaya au ni kauli ya nyuma?
Jamaa ni kawaida yake ! Zilongwa mbali zitendwa mbali 😳🙌 !Aanze kwanza na wale Masheikh wake wa Bakwata! Kila siku ni kumfanyia tu mama dua! Kumuwekea majini ya kumlinda, nk.
Wewe unaecomment hapa, hujauawa, hujatekwa wala hujabambikiwa kesi na umekaa nyumbani kwako unaandika mambo ambayo ukiambiwa ulete ushahidi huna, baada ya hapo ukichukuliwa hatua kwa kuandika mambo ya uongo mitandaoni useme serikali mbaya!Ila huwezi kumsikia huyo JK akikemea UTEKAJI, MAUAJI na UBAMBIKIZIAJI KESI za uongo unaofanywa na serikali kupitia policcm
Ushahidi gani unaongelea?!Wewe unaecomment hapa, hujauawa, hujatekwa wala hujabambikiwa kesi na umekaa nyumbani kwako unaandika mambo ambayo ukiambiwa ulete ushahidi huna, baada ya hapo ukichukuliwa hatua kwa kuandika mambo ya uongo mitandaoni useme serikali mbaya!
Hatari gani?
Kwa hiyo mpaka atekwe, auwawe yeye, au abambikiwe kesi ndiyo atakuwa na ushahidi wa kutokea kwa hayo matukio! You are not serious at all.Wewe unaecomment hapa, hujauawa, hujatekwa wala hujabambikiwa kesi na umekaa nyumbani kwako unaandika mambo ambayo ukiambiwa ulete ushahidi huna, baada ya hapo ukichukuliwa hatua kwa kuandika mambo ya uongo mitandaoni useme serikali mbaya!
Hahaha 😂Hii ni video ya mwaka 2023 mkuu.
Kwa hakika mkuuMwaka huu Mungu anaingilia kati
Eti baada ya maza kuingia kajichomoza tena.Jamaa alipotezwa kabisa 🤣🤣 !
Siyo kwa Afrika tu bali kwa dunia nzima na kwa sayari zinginezo.Kulipa kisasi kwa nani na magu hayupo duniani ?!
Kama ni udini Magufuli hakuwa na udini na ukichunguza wakristo waliokuwa wanamchukia Magufuli ni wengi kuliko waislamu.
Mimi ni kati ya watu waliokuwa wakipenda sana utendaji kazi wa rais Magufuli na naona kwamba kifo chake sio pigo kwa Tanzania tu, bali KIFO CHA MAGIFULI NI PIGO KWA AFRIKA NZIMA.
Tena waonywe Kwa vushindo washike adabu.