Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Mwenye akili timamu hutafuta jawabu kulingana na hali ya wakati huo. COVID 19, jawabu la mwamba ilikua ni HAKUNA LOCK DOWN. wati wafanye kazi.

Jawabu la Mwamba kipindi hiki nadhani ingekuwa ni kununua mafuta yenye bei nafuu either directly au kutumia watu waingize mafuta kwa bei nafuu.
 
Toka lini mramba asali akajuwa ugum wa maisha.., kuna watu ktk hii Nchi toka kuzaliwa kwao shida ni kuijuwa tu kwa neno shida.
 
Mzee nae anajifanya baba wa taifa, anashauri nini na anamshauri nani mbona yeye alipokuwa ulingoni hakuyafanya hayo anayoshauri, jamaa analinda tu maslahi yake.
 
Hazipo sawa, hapa unaweza kwenda kwa shangazi ukala ukalala, Uingereza hiyo ni ndoto.
Haaaa haaaa we nae kwa mbwembwe utafikiri ushafika huko. Bara jeusi watu wanakufa njaa ila huko unajokusema serikali inawalisha watu achana ndugu zako wanaonunua mahekalu nje huku watu wanakufa njaa
 
Sikuwahi kuamini kuwa huyu mtu aliumbwa with very low thinking...

Hivi ana tofautianaje na yule mfalme Louis wa Ufaransa?

Huwezi kuwaita wananchi wako WANAFIKI. kikubwa anakiri kuwa kukosa suluhisho kwa inflation ndo ukomo wao wa kufikiri.
halafu unatabasamu kabisaa na kuuliza, ungekuwa wewe kwenye kiti ungefanyaje? Hawa ndo watesi wetu hawa.
God forbid
 
Kula BURE, mke mbunge, mtoto waziri, Bi mdogo magogoni.
 
Bado mke wake analipwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…