Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ameanza kujimambafy na yeye. Kwanini hakujitutumua enzi za huyu mwamba? RIP
View attachment 2555225
Aliyotufanyia JPM na jeshi lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza kujimambafy na yeye. Kwanini hakujitutumua enzi za huyu mwamba? RIP
View attachment 2555225
mchele umefanyaje tenaSema ukweli baba, angalia mchele na unga.
Mwenye akili timamu hutafuta jawabu kulingana na hali ya wakati huo. COVID 19, jawabu la mwamba ilikua ni HAKUNA LOCK DOWN. wati wafanye kazi.Kasema ukweli. Hebu nyie mnaolalamika vitu kupanda bei mna majawabu gani?
1. Je ungefanya nini bei ya mafuta isipande?
2..Je ungefanya nini bei ya vyakula isipinde ikiwa mvua hazikunyesha vizuri
3. Je ungefanya nini umeme usikatike kama mabwawa ya kuzalisha umeme yana maji kidogo.
4. Ungefanya nini nauli zisipande ikiwa mafuta yameoanda bei.
5. Ungefanya nini...
Toka lini mramba asali akajuwa ugum wa maisha.., kuna watu ktk hii Nchi toka kuzaliwa kwao shida ni kuijuwa tu kwa neno shida.View attachment 2555763
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli
'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka?
Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'
Aiseee!Sawa
Tangu Mbowe aanze Maridhiano hali imezidi kuwa ngumu!
NiniEboooo
Hali za maisha za uingereza na huku bara jeusi zipo sawa .....uchumi upo sawa?
Mfano mzuriiiKwahiyo Mwalimu Wa Uingereza Analipwa Sawa na Mwalimu Wa Tanzania.?
Hazipo sawa, hapa unaweza kwenda kwa shangazi ukala ukalala, Uingereza hiyo ni ndoto.
Haaaa haaaa we nae kwa mbwembwe utafikiri ushafika huko. Bara jeusi watu wanakufa njaa ila huko unajokusema serikali inawalisha watu achana ndugu zako wanaonunua mahekalu nje huku watu wanakufa njaaHazipo sawa, hapa unaweza kwenda kwa shangazi ukala ukalala, Uingereza hiyo ni ndoto.
Sikuwahi kuamini kuwa huyu mtu aliumbwa with very low thinking...View attachment 2555763
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli
'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka?
Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'
Kula BURE, mke mbunge, mtoto waziri, Bi mdogo magogoni.View attachment 2555763
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli
'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka?
Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'
Hivi ukiondoa Rizimoko na Miraji tunaowajua hana kabisa watoto wa kike? Sijawahi kuwasikiaJK anajua nini kuhusu maisha?
Bado mke wake analipwaHuyo anakula mshahara 80% wa Rais aliye madarakani. Huyu anaweza kuyafahamu mateso tunayopitia wananchi wa daraja la chini????
Zifahamu benefits za Rais mstaafu wa JMT kwa mujibu wa Political Service Retirement Benefit Act, 1999.
On retirement the president is entitled to the following benefits under this law.
To begin with he shall be entitled to annual pension that will be payable to him every month at the rate of 80% of the incumbent president.
He will also be entitled to a gratuity the amount of which is 50% of the total salaries received when in office as a president.
He: is also entitled-to winding up allowance the amount of which is the total salaries accorded to the incumbent president for 24 months.
Other benefits include the diplomatic passport, for him and the spouse, Health insurance for treatment in the United Republic of Tanzania, the service of two vehicles availed to him by the government, a full furnished house with not less than four rooms (self contained) together with the servant quarter.
Maintenance allowance for every month the amount of which shall be equal to 80%, of the salary of the incumbent president. He shall also be entitled to security services to him and his family, one personal assistant, one personal secretary, office attendant, one cook, one laundry man, one laundry man, domestic servant, one gardener, two drivers and he will also be entitled to use the VIP lounge.
If the president dies while in power or after retirement but before - receiving his benefits the dependants shall be entitled to a gratuity the amount of which is equal to the total of all salaries which were received by the president while in power.[2] Again where a retired president dies the widow shall be entitled to a pension of 25% of the salary of the incumbent president.