Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa


BT atakuwa kwenye kushangilia kampuni linapojiimarisha kimapato
 
Kuna wastaafu wanawashwa washwa - Jiwe Kiongozi wa Malaika
 
HUWA NAMCHUKIA SANA MTU ANAYEFANANISHA UCHUMI WA NCHI TAJIRI KAMA UINGEREZA MAREKANI na NCHI yetu Tanzania
 
Una mshutumu umeiona hio clip ukasikia sauti
 
Umekalili kiswahili usingeweza tumia
 
Daah, Kwa haya MAHELAAA lazima JIZI KIKWETE LIFURUKUTE na KUFOKA.

MAHELA MENGI KWELI KWELII, PENSION, MARUPURUPU, NYUMBA BURE, GARI BURE!!

UKIJUMLISHA NA MAHELA ALIYOTUIBIA AKIWA RAIS!

NA MIGODI ALIYOIPORA, NA MADINII, NA PEMBE ZA NDOVUU ALIZOJITWALIAAA!!!

JAMENIIII, THE TRILLIONAIREE!!!
 
Kwa sababu yupo mstaafu mwenye afya njema mwenyewe basi anafikilia kila atakaloongea litakuwa sawa na la mzee Nyerere, Mwinyi au Mkapa!.

Bora angetulia tukawa tunamsikia akiwa huko kwenye majukwaa makubwa ya wastaafu wenzake!.
Uingereza na ulaya watu wanakula vyakula vya mbwa na paka baada ya vyakula vya binaadam Bei kupaa,wanaandama kuongezewa mshahara kwendana na gharama za maisha,ndicho alichomaanisha,badala yake mmeona pa kutemea nyongo kutoa chuki zenu zilizojaa vifuani dhidi yake,COVID na Vita Ukraine vimepaisha gharama za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…