Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmeanza tena kutetea watu wenu wa mwamedi.Si uandike Kiswahili tu.
Yule alikuwa na akili na alikuwa anajua Maisha ya Mtanzania wa chini yapo vipi?rejea msimamo wake kwenye CORONA juu ya lockdown!Jiwe angesema mkale Mawe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuswahili [emoji777]
Kiswahili [emoji736]
Ulienda shule kusomea ujinga?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Viongozi wa Tanzania wana akili za kuona mbali tangu lini!Serikali zinatakiwa kupanga kwa emergencies.
Ndiyo maana kuna Strategic Grain Reserve, Strategic Petroleum Reserve etc.
Yani serikali ilitakiwa kuwa na stock kubwa, kwenye matatizo ya njaa au ukosefu wa mafuta, serikali inaachia mzigo wake wa reserve ili kusaidia kupunguza makali ya kupanda bei.
Marekani ni mabepari na hawapendi serikali kuingilia biashara, lakini Biden alifungua reserves za serikali z amafuta kupunguza ukali wa bei ya mafuta.
Tukubali tu kwamba serikali yetu haijajipanga kwenye mambo kama haya na mtu kama Kikwete baada ya kukaa serikalini miaka yote hiyo, kusema hivi bila aibu, anaonesha tatizo la uongozi kwetu lilivyo kubwa.
Soma habari za White House kuhusu mpango wa Biden kukabili mfumuko wa bei ya mafuta Marekani, sasa Kikwete hajui serikali inatakiwa kufanya hivi?
![]()
FACT SHEET: President Biden to Announce New Actions to Strengthen U.S. Energy Security, Encourage Production, and Bring Down Costs | The White House
President Biden is committed to doing everything in his power to respond to Putin’s Price Hike at the pump, and he is delivering. Gas prices fell at thewww.whitehouse.gov
Tena jizi kabisa!Aachane na sisi mpuuzi huyu mwizi wa mali zetu
Huyu Kikwete alishawahi kuulizwa kipindi anazurula sana kwa nini Tanzania ni masikini kama Rais unasemaje?Viongozi wa Tanzania wana akili za kuona mbali tangu lini!
Wao wanachowaza ni uchaguzi na uwizi wa Mali za Umma,basi!
Huyo jamaa ni Pimbi kwani huyo Msoga huwa anatugawia hela za matumizi kila siku?Level ya juu katika nini? Wewe kweli hamnazo level ya juu katika soka ni kucheza ligi kuu, katika siasa Tz ni kuwa rais, ya dini katika ukristo ni kuwa askofu, ya maisha ni kuwa self reliant, kujitosheleza, sasa wewe ubwege wako wa kudhani urais ndio level ya juu katika kila nyanja peleka hukooo
Tanzania hii bila kutoka kwenye mikono ya lile kundi la majizi hakuna la maana litafanyika hata wanaopiga kelele saizi ni wale wezi na watu wa magumashi ila mtu wa kawaida maisha ni magumu sana!Uingereza imetumia £400 billion cash kupunguza gharama za maisha kwa miaka miwili; hiyo imeenda kwenye nyonyo kuwaongezea kipato watu wanaopata msaada wa serikali, kila nyumba imepata £67 kusaidia kwenye bill ya gas toka mwaka jana mwezi wa sita na marupurupu kibao kwa wanao jua.
Serikali iliweka zuio ya ‘price freeze’ ya bei ya nishati kupanda kipindi cha baridi, huo mpango unaisha mwezi wa lakini itaendelea kuangalia subject to market price bei ya nishati kama stable serikali itaendelea kuzuia.
Upande wa biashara serikali imeruhusu kitu kinaitwa ‘super deduction’ ambayo uwekezaji ambao ‘wenye wanaita wholly and exclusively’ kwa sababu ya biashara vitu kama mashine za viwandani, ma lorry, vans, computer and softwares, fixtures and fitting, green technology yoyote unayoweka ofisini; unaruhusiwa ku claim 130%.
Maana yake nini kama ulinunua mashine millioni 200 mwisho wa mwaka kwenye hesabu zako unaruhusiwa kum claim million 260 kabla ya kodi. Kama hakuna faida umepata hasara una claim losses mpaka miaka mitatu nyuma unapewa tax rebate kama hiyo miaka aijafidia losses zako; kilichobaki unaenda nacho mbele mpaka umalize loss zako zote.
Hapo kuna annual investment allowance ya £1,000, ukinunua vitu hivyo hivyo ila second na vingine. Kwa kifupi hiki kipindi wamefanya mambo mengi sana ya kusaidia watu maskini kupambana na ugumu wa maisha na biashara ili bei za bidhaa zisipande sana.
Bila ya hivyo sijui ingekuwaje kitaa, maana pamoja na ivyo maandamano na migomo kila uchao mpaka sasa hivi serikali imeanza kukubali hizo demands.
Yeye ata JK ata akienda U.K. ana fikia kwenye nyumba aliyomnunulia binti yake, maeneo ya matajiri, ukiingia ndani ya gate nyumba bado mbali; anajua changamoto za kitaa kupanda kwa bei za maisha.
Sasa Tanzania kwenye ugumu wa maisha serikali hapo hapo inatunga na tozo za kuibia watu hela zao; tozo za Mwigulu sio kodi ule ni wizi wa kuchukua hela za watu kinguvu.
Kibaya zaidi hawana huruma.Tanzania hii bila ku toka kwenye mikono ya lile kundi la majizi hakuna la maana nitafanyika hata wanaopiga kelele saizi ni wale wezi na watu wa magumashi ila mtu wa kawaida maisha ni magumu sana!
Jiulize mano chakula waliruhusu chakula kitoke kwa kuacha mipaka wazi! Juzi tena hao hao wakaagiza chakula kutoka nje!
Lakini ukimsikiliza Bashe anaongea asichokijua maana kali sha asali na wafanya biashara ili aruhusu chakula kutoka nje shagarabagara!
Na mwaka huu mazao sio mazuri kazi ipo!
Hii code nimeielewa vyema tu..⏳️⏰️
Naomba nielimishe kicodecode kuhusu hiyo code.Hii code nimeielewa vyema tu..
Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Hivi tayari ameishajengewa nyumba na serikali au bado?Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli
'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka? Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'