Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Mzee punguza tamaa ya mali na madaraka utuachie kidogo na sisi pia tuna haki kama wewe na watu wako.
 
Anajisahaulisha pia udongo unamsubiri hawa watu wanadharau sana ila Mungu anawacheki tu maana kesho hawaijui!
Wanajidanganya na ile kauli yao ya makamba ila penda wasipende watakula dongo tu na bado wakienda huko watakuwa na ya kujibu.
 
Wanajidanganya na ile kauli yao ya makamba ila penda wasipende watakula dongo tu na bado wakienda huko watakuwa na ya kujibu.
Na kile kizee cha Bumbuli aliwaambia wenzake kuwa wema hawafi Wema wenyewe sasa ukiambiwa unabaki unashangaa! Suburi mda ukifika hawataamini kinachowatokea! Mtu kichwa chenye muvi kisicho na akili!
 
Mzee wa maridhiano akioni hii kauli anacheka sana nakumtumia sms kikwete wakutane kufanya maridhiano
 
Kikwete mpiga deal hawezi kuwa na akili kuliko watanzania wote hata siku moja, wananchi wanajua sana sana wanachokiongea yy aendelee na deal zake,hapa anayelalamika sio mwananchi bali ni wananchi ambao kati yao wapo wanaomzidi kikwete Elimu na Akili pia.
 
Huyu Kikwete alishawahi kuulizwa kipindi anazurula sana kwa nini Tanzania ni masikini kama Rais unasemaje?
Akajibu hata mimi sijui! Sasa jiulize vicho kichwa kina kitu cha maana kweli?
Nadhani wazungu walimchoka. Alienda kuomba misaada.
 
Wanajidanganya na ile kauli yao ya makamba ila penda wasipende watakula dongo tu na bado wakienda huko watakuwa na ya kujibu.
Makamba alikosea, hata Samia nadhani alisema ameteleza ulimi. Usiseme watakula udongo, ni tutakula udongo. Tena usijisahau yasije yakakukuta ya huyu aliyedhani ana muda mrefu zaidi:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…