Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Atakaa tu mezan inawezekana kabisa walivyomwingia mara ya kwanza( first approach) ndo limeleta tatizo hadi, pande zote wakiri makosa kama yalikuwepo kuanza upya mezan.
 
Huyo mzee anataka Mo amtoe kiutu uzima,mi naona ampe tu atuondelee gozigozi.
 
Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Unakatia?!
 
Huyo mzee anataka Mo amtoe kiutu uzima,mi naona ampe tu atuondelee gozigozi.
Kwa namna yoyote ile kauli na matendo dhidi ya yoyote ni jambo la muhimu awe mdogo au mkubwa kwako au vyovoyte unavyomchukulia laweza leta mgogoro usio na lazima
Simba ni yetu sote naamin Mzee Kilomoni na Mo wanapikika chungu kimoja
 
Mo hata hana noma...hawa wazee sasa na misimamo yao utazan maagizo ya mganga..

Kwan kuiacha Era ya Mo iitumikie simba shinda iko wapi?

WAo kwa wakat wao simba haijawah kuwa kubwa kama ilivyo hii ya leo..

Wao tunategemea busara zao na sio kupinga kila hatua anazopiga mtoto.

Na mwisho wa siku simba ndo mnufaika mkubwa kuliko hata mo..

Hii migogoro wanayoleta, mo akiisusa simba , tutashikana uchawi kuwalipa wabrazil, ausems na benchi lake...
 
Huo uwezo hawana Mo akae pembeni tuone million 28 za kumlipa aussems kila mwezi na wachezaji kama wana uwezo wa kuwalipa mchezaji mwenye mshahara wa chini kabisa Simba ni dollar 5000, Simba ikipigwa round ya kwanza CAF champions league alafu TPL ikamaliza nafasi ya tano au ya sita watatia akili na naamini utakuwa ndio mwisho wa uhai wa Kilomoni
 
Ni kama vile twaamua kutoboa jahazi kwa sababu tuna hitilafu na nahodha, kila mtu ana kaz yake jahazini wewe n nahodha mm fundi, tusiklzane tu, hata kama mmoja aonekana wa kipaumbele zaidi, hicho ndo nachokiona simba kwa sasa tutazama wote 😃 😃 😃
 
Huo uwezo hawana Mo akae pembeni tuone million 28 za kumlipa aussems kila mwezi na wachezaji kama wana uwezo wa kuwalipa mchezaji mwenye mshahara wa chini kabisa Simba ni dollar 5000, Simba ikipigwa round ya kwanza CAF champions league alafu TPL ikamaliza nafasi ya tano au ya sita watatia akili na naamini utakuwa ndio mwisho wa uhai wa Kilomoni
Huna uhakika kcc simba ni 5000$? Mkuu unaota nn?
 
Msumari Wa Moto Umemgeukia Mwenye Nao!
Akagoma Kupanda Nyuma Polisi Nao Wakamruhusu Akae Mbele!

Sinema Linachezwa. Popcorn Plz!
 
Kumbe vibaraka wa Mo waliomba msaada wq polisi ili kuuzima moto wa mzee kilomoni
Mbumbumbu.jpg
 
Hayo ni maigizo tu, wanamtumia yeye kutibua simba halafu wanajifanya kumkamata, janja yao inajulikana tu, we hujiulizi inakuwaje serikali inakuja na hoja zile zile anazokujanazo huyu mzee, jiwe is behind hizi figisufigusu na mwanawe bashite, huenda hizi bilioni 20 wanazitaka wao, si uchaguzi umekaribia,

hivi unafikiri kwa hizi figisu figusu kweli kuna mwekezaji atajitokeza kweli? Hakuna mjinga atakayewekeza hapo.
 
Thubutuuuuu! Mguseni anuke. Yupo home kwake anapanga mipango zaidi ya kuiendeleza 5imba. Ushawahi kuona mtuhumiwa anapanda mbele kwenye karandinga?
Naam, unaweza kupanda kokote utakapo ni haki yako mzee kilomoni aindeleze Simba kwa fedha gani alizonazo kwa akili gani alizonazo?
.
Anacholilia yeye ni kuenguliwa kwenye bodi ya wadhamini
 
Back
Top Bottom