Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee anataka Mo amtoe kiutu uzima,mi naona ampe tu atuondelee gozigozi.Atakaa tu mezan inawezekana kabisa walivyomwingia mara ya kwanza( first approach) ndo limeleta tatizo hadi, pande zote wakiri makosa kama yalikuwepo kuanza upya mezan.
Unakatia?!Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Kwa namna yoyote ile kauli na matendo dhidi ya yoyote ni jambo la muhimu awe mdogo au mkubwa kwako au vyovoyte unavyomchukulia laweza leta mgogoro usio na lazimaHuyo mzee anataka Mo amtoe kiutu uzima,mi naona ampe tu atuondelee gozigozi.
Mo hata hana noma...hawa wazee sasa na misimamo yao utazan maagizo ya mganga..Kwa namna yoyote ile kauli na matendo dhidi ya yoyote ni jambo la muhimu awe mdogo au mkubwa kwako au vyovoyte unavyomchukulia laweza leta mgogoro usio na lazima
Simba ni yetu sote naamin Mzee Kilomoni na Mo wanapikika chungu kimoja
Huo uwezo hawana Mo akae pembeni tuone million 28 za kumlipa aussems kila mwezi na wachezaji kama wana uwezo wa kuwalipa mchezaji mwenye mshahara wa chini kabisa Simba ni dollar 5000, Simba ikipigwa round ya kwanza CAF champions league alafu TPL ikamaliza nafasi ya tano au ya sita watatia akili na naamini utakuwa ndio mwisho wa uhai wa KilomoniMo hata hana noma...hawa wazee sasa na misimamo yao utazan maagizo ya mganga..
Kwan kuiacha Era ya Mo iitumikie simba shinda iko wapi?
WAo kwa wakat wao simba haijawah kuwa kubwa kama ilivyo hii ya leo..
Wao tunategemea busara zao na sio kupinga kila hatua anazopiga mtoto.
Na mwisho wa siku simba ndo mnufaika mkubwa kuliko hata mo..
Hii migogoro wanayoleta, mo akiisusa simba , tutashikana uchawi kuwalipa wabrazil, ausems na benchi lake...
Huna uhakika kcc simba ni 5000$? Mkuu unaota nn?Huo uwezo hawana Mo akae pembeni tuone million 28 za kumlipa aussems kila mwezi na wachezaji kama wana uwezo wa kuwalipa mchezaji mwenye mshahara wa chini kabisa Simba ni dollar 5000, Simba ikipigwa round ya kwanza CAF champions league alafu TPL ikamaliza nafasi ya tano au ya sita watatia akili na naamini utakuwa ndio mwisho wa uhai wa Kilomoni
Hivi tuwe wakweli tu Mo mara paap kajitoa Simba unafikiri Simba itakuwa wapi au Kilomoni ataisaidia nini Simba?
Mbumbumbu fc buanatuliza kppa hicho
Thubutuuuuu! Mguseni anuke. Yupo home kwake anapanga mipango zaidi ya kuiendeleza 5imba. Ushawahi kuona mtuhumiwa anapanda mbele kwenye karandinga?Yupo Keko anasubiria ndondo la jioni
Naam, unaweza kupanda kokote utakapo ni haki yako mzee kilomoni aindeleze Simba kwa fedha gani alizonazo kwa akili gani alizonazo?Thubutuuuuu! Mguseni anuke. Yupo home kwake anapanga mipango zaidi ya kuiendeleza 5imba. Ushawahi kuona mtuhumiwa anapanda mbele kwenye karandinga?
Moto gani na wewe, Kilomoni anazungumza mambo ya Simba yeye kama nani alafu anazungumzia nyumbani kwake unafikiri tutamlazia damu kama akilimali wenu?Kumbe vibaraka wa Mo waliomba msaada wq polisi ili kuuzima moto wa mzee kilomoniView attachment 1162802