Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kafanye machafuko kwenu
Subiri tu uone watu tukiwatoa usingizini hutaaaminu macho yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanye machafuko kwenu
Endelea kuotaSubiri tu uone watu tukiwatoa usingizini hutaaaminu macho yako.
Hata kwa kina Elbashir, Mugabe, Gaddafi nk wapambe walikuwa na maneno haya haya ya jeuri, lakini kilichowakuta.Endelea kuota
Siku zote yuko hivyo, yaani hana hivyo vitu!ANAMTETEA MTOTO WAKE ila Mzee kaonyesha kutokuwa na HEKIMA wala BUSARA
Kuhamaki ni dalili ya kuonesha kuwa yuko gulty. Na bado.Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Sio udini haya mazee ni malafi, makatili na machawi yaliyoiroga hii nchi.Hii nchi wazee wasio wanafiki amebaki Warioba na Butiku
Makamba anasumbuliwa na udini na kulinda maslahi ya mwanaye aliyeiba mthihani wa form four aje awe Rais...
Kitu ambacho hakitakaa kitokee milele na milele amina!!!
Lakini na wao kwa nini wamemuuliza baba wakati mtoto ndiyo mwenye madaraka?ANAMTETEA MTOTO WAKE ila Mzee kaonyesha kutokuwa na HEKIMA wala BUSARA
Kwa muktadha huu mzee ameonyesha upumbavu wake wa kiwango cha airport Terminal 3Lakini na wao kwa nini wamemuuliza baba wakati mtoto ndiyo mwenye madaraka?
Nadhani hiyo siyo sahihi. Kwa kweli Mzee Makambaa alitakiwa anyamaze tu asiwajibu lo lote.
Endelea kuota,unataka ccm itoke kiingie chama gani!?Hata kwa kina Elbashir, Mugabe, Gaddafi nk wapambe walikuwa na maneno haya haya ya jeuri, lakini kilichowakuta.
Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"