Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Tuwe na shukrani kwani wanatufanyis hisa ni wanatekeleza hizo ishu kwa Kodi zetu na mikopo wanakopa na tunalipa sisi walalahoi.

Wazee wa hivi wa kazi Gani !?

Hawana Faida kwa hii nchi.
 
ANAMTETEA MTOTO WAKE ila Mzee kaonyesha kutokuwa na HEKIMA wala BUSARA
Lakini na wao kwa nini wamemuuliza baba wakati mtoto ndiyo mwenye madaraka?

Nadhani hiyo siyo sahihi. Kwa kweli Mzee Makambaa alitakiwa anyamaze tu asiwajibu lo lote.
 
Lakini na wao kwa nini wamemuuliza baba wakati mtoto ndiyo mwenye madaraka?

Nadhani hiyo siyo sahihi. Kwa kweli Mzee Makambaa alitakiwa anyamaze tu asiwajibu lo lote.
Kwa muktadha huu mzee ameonyesha upumbavu wake wa kiwango cha airport Terminal 3
Kwa mtu wa kaliba yake kama aliona hana cha kuzungumza angejibu tu kirahisi kwamba anaomba asilizungumzie hilo. Au angeweza kutoa maoni yake kama raia wa kawaida.
Zee linazeeka na mashudu yake
 
Kumbe sio Wazee wote wenye Busara.

Mzee Makamba ameonesha Hilo.

Kingine inaonesha Mtu akishaanza kulamba asali huwa anapoteza uwezo wa kuona mambo kwa mapana.

Mzee amekuwa mkali kwa vile Mwanae analamba asali kwenye hiyo Wizara inayotufanya tuwe na mgao wa umeme ili wafanye biashara ya Majenereta na Sola
 
Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
5EA19818-2976-4128-A210-FBAB7C19F2F5.jpeg
 
Back
Top Bottom