Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ila laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna huyu Gwajima..Lakini Mimi binafsi sijaona kosa la gwajima maana aliongea ukweli, watu walikuwa wanafanya kampeni maghu asiwe mwenyekiti bulembo akaja kuthibitisha hata lizaboni humu ndani kathibitisha sasa kosa lake nini?
Ukweli upi huyo mwenye laana Gwajima aliusema..??Gwajima aliongea ukweli wengi hawakupenda kuusikia
Nadhani mngemshauri huyo Askofu wenu uchwara Gwajima akae kimya maana akimshambulima Mzee Makamba ni kazi bure..Makamba hana ushawishi wowote kwenye siasa wa serikalini..hivyo hata athirika..mno mno huyo mropokaji Gwajima azidi kuabikaSioni sababu ya askofu Gwajima kushambuliwa hadharani na mzee Makamba wakati alichokisema ndiyo uliokuwa ukweli wenyewe.
Sasa asubiri mrejesho wa askofu.
Ukweli upi huyo mwenye laana Gwajima aliusema..??
Huyo mropokaji anayeangalia upepo upo wapi ili apate kuongeza waumini na umaarafu hata kichaa anamdharau...Wenyewe uelewa mdogo kama wewe huwezi kuelewa alichoongea Gwajima
Huyo mropokaji anayeangalia upepo upo wapi ili apate kuongeza waumini na umaarafu hata kichaa anamdharau...
Makamba yupo sawa kabisa " laana ya kumtukana Cardinal Pengo itamtafuna mpaka atakapoingia kaburini"
Haha uchwara my foots angekuwa behind Bars [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji37] [emoji37]Nadhani mngemshauri huyo Askofu wenu uchwara Gwajima akae kimya maana akimshambulima Mzee Makamba ni kazi bure..Makamba hana ushawishi wowote kwenye siasa wa serikalini..hivyo hata athirika..mno mno huyo mropokaji Gwajima azidi kuabika
Baada ya siku ya leo Jumamosiya sabato kumalizika na mkutano mkuu kumpitisha kikwete,kesho ni siku maalum ya Gwajima kumjibu Makamba,naamini Makamba ameingia choo cha kike na ataomba poo japo kimya kimya na waandishi wa habari msikose Kanisa la UFUFUO na Gwajima kesho,hii ni komedy mpya inayokuja
Hakuna slides ni kikweteLakini Mimi binafsi sijaona kosa la gwajima maana aliongea ukweli, watu walikuwa wanafanya kampeni maghu asiwe mwenyekiti bulembo akaja kuthibitisha hata lizaboni humu ndani kathibitisha sasa kosa lake nini?
Tutamtajia jina la yule mtu aliyekuwa akimtuma sigara kubwa wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Dsmkweli aiseee Makamba lazima ataomba poo
Makamba anapaswa kutulia asichonge mdomo wakati tunamjua vizuri!kweli aiseee Makamba lazima ataomba poo