Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Niambie sasa hizi nipo wapi?Ndio ujue uzur wa iphne unajua mtu yup wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie sasa hizi nipo wapi?Ndio ujue uzur wa iphne unajua mtu yup wapi
Acha nichungulie kwenye tunguliNiambie sasa hizi nipo wapi?
😄Huna akili. Acheni kuvuta mibangi mkiwa na msongo wa mawazo.
Nimeshawahi kufiwa.Ndugu hayajakukuta
Hahaha 😂Acha nichungulie kwenye tunguli
Usipozikwa na sheikh ama mchungaji ety watu wanasema umezikwa kama mZoga, mara umekufa dhambi so kama haujaombewa mchungaji huendi mbinguni, ama huyo pumzika kwa amaniMleta mada namfananisha na wapumbavu fulani wanasemaga usiposhiriki jumuiya, kanisani na kutoa zaka hatuji kukuzika 🤣🤣🤣
Yani wanajiona wajanja sana kumbe kumbe wangejua ninavyowadharau wasingeamini
Kwani wameomba Fedha za msiba?Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Mara nyingi jinsi ulivyoishi na Watu ndivyo utakavyozikwa ,Kama mtu wa watu msiba wako watu wajaaa kama kauzu ndio kama hivyo..
Kwa Siku Hz msiba ni Gharama,wasipokuja watu ni sawa sawa tu ki bajeti
Itoshe kusema kuwa Sasa kama inawezeka inahitajika Sasa funeral homes ziwepo Tanzania.Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Kwanza misiba kutiana hasara tuu. Mie nina majonzi alafu eti nilishe watu.So what?
Hiyo tabia ni hatari sana ya kutokuuzulia misiba na kutokula chakula Cha msibanMzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Temea chini nuksi hiyo isikuvae.Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Sasa hapo kaadhibiwa vipi? Maana familia na ndugu zake wameshiriki kikamilifu kumzika.nyie jitoeni akili tu,huu ni utamaduni wetu na usipoufata uta adhibiwa tu! This isn’t Europe mate.
Ni kama kukomoana. Kwa mfano mimi sipendi nyama ya mchuzi hata mama yangu alikua akipika atantengea tangu ya kukaanga pembeni. Lakini misibani wanapenda sana kupika ya mchuzi nikisema asante niko vizuri naonekana nina majivuno.Juzi kati mtaani kulikuwa na msiba, mwili ukatolewa ndani tayari kwa safari ya kwenda kuzika kitongoji cha mbali. Kuna watu walitaka tule kwanza ila wengi wakasema haina haja ya kula, tukaenda kuzika bila kula. Tuliporudi kutoka mazikoni ndio tukapewa chakula. Chakula kikawa ni ugali kwa mboga za majani tu, wengine tukajitenga kula ugali kwani ugali tumekula nyumbani ya nini kula tena? Tuliambiwa kula msibani ni lazima usipokula na kwako hawaji kula utaachiwa vyakula ule mwenyewe kwa kuwa huwa huli kwenye misiba ya wenzako hivyo ni lazima ushiriki kula hata kama ni uji
Mila za wapi huko kwenu?Hana hasara walio na hasara ni wale wanaoishi.
Hapo ni wkamba hawana fedha, ingekuwa msiba kuna wapishi, vinywaji raia wangekuja tu.