saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.