Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Zanzibar? si mlisema nyie kwamba ni Kanda ya Ziwa ndio wanampenda Magufuli na sio watanzania wote au mmeshahau hilo muda utaongea 2023 inaingia
Kama mlijua anakubalika hivi why mkapora uchaguzi hivi unajua Jimbo nalotokea hatukufanya uchaguzi wa ubunge Wala kata sababu CCM walipiga bila kupingwa ila eti kura za Urais turnout ilikua 90%!!!! Imagine

Hizi hoja zenu zingekua na ukweli kama mngeruhusu demokrasia Ili angeshinda kihalali wote tungeziba mdomo ila Kwa rafu zile nani atapinga kuwa alikua sio popular kama mnavyomkuza humu.
 
Hakuna ndoa yoyote batili Kati ya CCM na dola isipokuwa kupitia sanduku la kura. Mimi siku zote nipo tofauti na CHADEMA na vyama vingine vya upinzani kwenye Jambo hilo. Mitaani na vijijini huko watu wengine hawavijui wala hawavifahamu vyama vingine vya upinzani leo mzee Dovutwa sijui yule mzee wa ubwabwa anakuja na yeye anadai kaibiwa kura.

Wacha nikukumbushe tena mtaa ninaoishi Mimi wanachama wa CHADEMA hawazidi hata 80 wakati wanachama wa CCM wapo zaidi ya 5000 bila kuhesabu watoto na wakinamama. Upinzani hauna watu mitaani na huku mitandaoni wanapojivunia napo sio pa kuamini.

blabla tu, Kama watanzania hawaijui CHADEMA hizo asilimia 40 mwaka 2015 walizipata wapi. Magufuli na kiburi chake aliiogopa CHADEMA mpaka kuiba kura 2020. Hadi anaingia kaburini kaiacha CHADEMA.
 
Hakuna raisi kama Magufuli na hakuwa na maadui ni wapumbavu wachache wasiomuelewa ..

Magufuli ndio alikuwa mpumbavu. Unaiba kura halafu unakufa na kuacha wafu wengine wakifaidi. Big fool bastard.
 
Ni miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz Party Zanzibar acha kucharau watu na amezungunza kupitia Channel Ten kituo kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi
Kama issue ni uasisi wake mbona Kingunge alimkataa JPM? kwani nani ni muasisi influential kati ya Kingunge na huyu mnywa kahawa na kashata?

JPM is gone watu wameshaendelea na maisha Yao hizi post zenu za kumkuza haziwezi mfufua. Accept and move on otherwise anzisheni chama mpambane na Samia sio mnapiga kelele huku mmeng'ang'ania CCM mnapoteza muda tu.
 
blabla tu, Kama watanzania hawaijui CHADEMA hizo asilimia 40 mwaka 2015 walizipata wapi. Magufuli na kiburi chake aliiogopa CHADEMA mpaka kuiba kura 2020. Hadi anaingia kaburini kaiacha CHADEMA.
Zungumzia uchaguzi wa 2020 ambao Mbelgiji haamini mpaka leo alivyotendwa na wapigakura na unapouzungumzia uchaguzi wa 2015 huku ukijua ushindani ulikuwa ni Kati Kati ya mwanaCCM kwa mwanaCCM ni kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
shika adabu yako Mzee Mohamed hakusema ameongea kwa niaba ya watanzania wewe ndio umesema hayo maneno yeye ameongea hisia zake, Watu wazuri hawafi inawauma baada ya kampeni yenu ya SUKUMA Gang kugonga mwamba sasa mnaanza kutapatapa kuona wazanzibari wako na JPM
Wazanzibari Hawa Hawa waliovunjwa miguu kwa kumpigia kura Maalim? Embu kaongee hili neno pale kibanda maiti kama hawajakugawa vipande. Jamaa alisema Maalim asipewe matibabu eti kisa ni mpinzani!! Hizo chuki unadhani wazenji walifurahia?

Miaka yote CCM inaiba kura lakini Maalim hajawahi ambulia wabunge 5!! Ni zaidi ya wizi alafu una generalize kuwa wazenji wanampenda? Get serious
 
nasubiria kusoma majibu ya TEAM BIKIDUDE's 😛
 
Hakuna raisi kama Magufuli na hakuwa na maadui ni wapumbavu wachache wasiomuelewa ..

Eti hakuna rais Kama magufuli, mnalazimisha watu uongo. Kila Rais alifanya yake akaondoka. Haya ya kulinganisha Marais mmeanza nyie msiojua nchi imetokea wapi mpaka hapa ilipofikia. Kama Marais waliopita wangeweka misingi mibaya hata huyo magufuli asingefanya lolote.

Ila Ni kweli hakuna Rais aliyewahi kufia madarakani zaidi ya magufuli hapa Tanzania Bara.
 
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dk. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele

“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.
Pumbavu sana, hili taifa halitakaa liongozwe na kichaa, mshamba, makabila na muuaji tena
 
Pole sana, shetani ni mbaya. Huwa anakugusaga wapi?

Nimekuonya Kama hujui kitu kaa kimya, usifanyie wengine mizaaa. Uzuri shetani magufuli kaondoka na Mungu kanisaidia nilivyopoteza vimerudi vyote.
 
Back
Top Bottom