Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haters watasema sukuma gang wapo mpaka visiwani
Dah. huyu mzee kaongea mambo mazito sana alafu kutoka Zanzibar? nilijua ni ndugu zake wa CHATO.
chuki zako ni bureHaters gani?. Ukijenga chuki lazima uchukiwe tu.
Kama mlijua anakubalika hivi why mkapora uchaguzi hivi unajua Jimbo nalotokea hatukufanya uchaguzi wa ubunge Wala kata sababu CCM walipiga bila kupingwa ila eti kura za Urais turnout ilikua 90%!!!! ImagineZanzibar? si mlisema nyie kwamba ni Kanda ya Ziwa ndio wanampenda Magufuli na sio watanzania wote au mmeshahau hilo muda utaongea 2023 inaingia
Hakuna ndoa yoyote batili Kati ya CCM na dola isipokuwa kupitia sanduku la kura. Mimi siku zote nipo tofauti na CHADEMA na vyama vingine vya upinzani kwenye Jambo hilo. Mitaani na vijijini huko watu wengine hawavijui wala hawavifahamu vyama vingine vya upinzani leo mzee Dovutwa sijui yule mzee wa ubwabwa anakuja na yeye anadai kaibiwa kura.
Wacha nikukumbushe tena mtaa ninaoishi Mimi wanachama wa CHADEMA hawazidi hata 80 wakati wanachama wa CCM wapo zaidi ya 5000 bila kuhesabu watoto na wakinamama. Upinzani hauna watu mitaani na huku mitandaoni wanapojivunia napo sio pa kuamini.
DISLIKEHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Hakuna raisi kama Magufuli na hakuwa na maadui ni wapumbavu wachache wasiomuelewa ..
Kama issue ni uasisi wake mbona Kingunge alimkataa JPM? kwani nani ni muasisi influential kati ya Kingunge na huyu mnywa kahawa na kashata?Ni miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz Party Zanzibar acha kucharau watu na amezungunza kupitia Channel Ten kituo kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi
chuki zako ni bure
Zungumzia uchaguzi wa 2020 ambao Mbelgiji haamini mpaka leo alivyotendwa na wapigakura na unapouzungumzia uchaguzi wa 2015 huku ukijua ushindani ulikuwa ni Kati Kati ya mwanaCCM kwa mwanaCCM ni kujitekenya na kucheka mwenyeweblabla tu, Kama watanzania hawaijui CHADEMA hizo asilimia 40 mwaka 2015 walizipata wapi. Magufuli na kiburi chake aliiogopa CHADEMA mpaka kuiba kura 2020. Hadi anaingia kaburini kaiacha CHADEMA.
Pole sana, shetani ni mbaya. Huwa anakugusaga wapi?Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza. Nyamaza kabisa, Kama hukuguswa na yule shetani, kaa kimya usinipangie hisia zangu.
Wazanzibari Hawa Hawa waliovunjwa miguu kwa kumpigia kura Maalim? Embu kaongee hili neno pale kibanda maiti kama hawajakugawa vipande. Jamaa alisema Maalim asipewe matibabu eti kisa ni mpinzani!! Hizo chuki unadhani wazenji walifurahia?shika adabu yako Mzee Mohamed hakusema ameongea kwa niaba ya watanzania wewe ndio umesema hayo maneno yeye ameongea hisia zake, Watu wazuri hawafi inawauma baada ya kampeni yenu ya SUKUMA Gang kugonga mwamba sasa mnaanza kutapatapa kuona wazanzibari wako na JPM
Ulitaka mama yako aongee ndio ikubalike?, idiotsHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Hakuna raisi kama Magufuli na hakuwa na maadui ni wapumbavu wachache wasiomuelewa ..
Pumbavu sana, hili taifa halitakaa liongozwe na kichaa, mshamba, makabila na muuaji tenaMZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dk. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.
Pole sana, shetani ni mbaya. Huwa anakugusaga wapi?