Ni miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz Party Zanzibar acha kucharau watu na amezungunza kupitia Channel Ten kituo kinachomilikiwa na Chama cha MapinduziHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Huyo ni chawa mzee hana jipyaNi miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz Party Zanzibar acha kucharau watu
Zanzibar? si mlisema nyie kwamba ni Kanda ya Ziwa ndio wanampenda Magufuli na sio watanzania wote au mmeshahau hilo muda utaongea 2023 inaingiaHuyo ni chawa mzee hana jipya
"Great minds discuss ideas and issues but simple minds discuss people and events", Tuache hii tabia ya kujadili watu na matukio tujikite kujadili mada husikaHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Alikubali LOLOTE LIMFIKE... maneno nyetiMZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dk. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.....
umenena sahihi mkuu. wao walisema magufuli ni mkabila anakubalika kwa wasukuma wenzake leo Wazee wa Kiislamu kutoka Zanzibar wanasema hisia zao kuhusu Magufuli wanaanza tena mara wauza kahawa."Great minds discuss ideas and issues but simple minds discuss people and events", Tuache hii tabia ya kujadili watu na matukio tujikite kujadili mada husika
Tunapima maneno kwa kuangalia yametoka kwa nani sio mtu kashiba mihogo huko anaongea kwa niaba ya watanzania wote"Great minds discuss ideas and issues but simple minds discuss people and events", Tuache hii tabia ya kujadili watu na matukio tujikite kujadili mada husika
Una roho mbaya sana ww jamaaTunapima maneno kwa kuangalia yametoka kwa nani sio mtu kashiba mihogo huko anaongea kwa niaba ya watanzania wote
shika adabu yako Mzee Mohamed hakusema ameongea kwa niaba ya watanzania wewe ndio umesema hayo maneno yeye ameongea hisia zake, Watu wazuri hawafi inawauma baada ya kampeni yenu ya SUKUMA Gang kugonga mwamba sasa mnaanza kutapatapa kuona wazanzibari wako na JPMTunapima maneno kwa kuangalia yametoka kwa nani sio mtu kashiba mihogo huko anaongea kwa niaba ya watanzania wote
Hakuna ndoa yoyote batili Kati ya CCM na dola isipokuwa kupitia sanduku la kura. Mimi siku zote nipo tofauti na CHADEMA na vyama vingine vya upinzani kwenye Jambo hilo. Mitaani na vijijini huko watu wengine hawavijui wala hawavifahamu vyama vingine vya upinzani leo mzee Dovutwa sijui yule mzee wa ubwabwa anakuja na yeye anadai kaibiwa kura.Wapo ambao ni zaid8 ya Magu na Nyerere lakini mfumo unaratibu kwa tahadhari kubwa hilo lisijekutokea.
Kutawala na kuiba kwa mujibu wa sheria kuna raha yake, hivyo ndoa ya CCM na dola ni kubebana na kupeana pande
Ni miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz Party Zanzibar acha kucharau watu na amezungunza kupitia Channel Ten kituo kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi
Alikubali LOLOTE LIMFIKE... maneno nyeti