Lini raia walisema wana hela mfukoni? Au awamu ipi raia walisema wana hela. Enzi za jk mlisema hali ngumu hadi mkazungusha mikono, mkasema heri ya mkapa.Mavi-Jana ya Tanzania ni mapunguani, yanafikri kukenga maflyover ndio maendeleo hayo! Hebu ulizeni raia walivyo chakali kwenye mifuko! Magu kafuta ajira serikalini raia wanalia!
aliyekwambia NSSF sio mali ya serikali ni nani?Ni nani anapanga safu ya uongozi? NSSF sio kama makampuni ya Barhesa au Mo.Lakini kwa taarifa yako tu NSSF kumiliki hostel za MAbibo(udsm) au Udom au kuwekeza kwenye Daraja la Kigamboni haifanyi kua wamiliki wa chuo au barabara/Daraja mwisho wa siku serikali ndio mlinzi mkuu kwa niaba ya umma.Kinachofanyika ni PPP.Kacheki taarifa toka hapa.
Achana na hao ..tena JPM katumia mshahara wake kabisaHatata JNHPP uliasisiwa na Mwalimu JKN lakini JPM amekuja kutekeleza.
Mshahara wa rais Tanzania (JMK) ulikuwa USD 15000.00 kwa mwezi JPM kapunguza hadi USD 5000.00 kwa mwezi. Sasa unaweza kuona hapo Uzalendo wa JPM. ''mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.''Achana na hao ..tena JPM katumia mshahara wake kabisa
Lazima utasema hivyo kwa sababu amewafuta ulingoni. Hamsomeki wala hamuonekani.Huyo hakuna la maana alilofanya.
mambo mengi yepi yataje tujueMagufuli amekuja kufanya mambo mengi sana, Watanzania tutamkumbuka huyu Baba kwa uchapakazi na upendo wake kwa Nchi
Ufufuaji wa usafiri wa reli Dar to Moshi1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.
Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.
Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda ya chuo kulia naona ubungo flyover na kushoto naziona Magufuli hostel.
Nitaendelea.........!
Maendeleo hayana vyama.
Lazima utasema hivyo kwa sababu amewafuta ulingoni. Hamsomeki wala hamuonekani.
Mkuu unajua kusoma tu.....Mshahara wa rais Tanzania (JMK) ulikuwa USD 15000.00 kwa mwezi JPM kapunguza hadi USD 5000.00 kwa mwezi. Sasa unaweza kuona hapo Uzalendo wa JPM. ''mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.''
PPF tower imejengwa kipindi gani na pesa za nani, usisahau kusema na madeni wanayotuachia pia na mali walizotupotezea kwa ubinafusishaji usio na tija
Wote wamefanya mambo yao ila JPM ni mzalendo kuliko woteTunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.
Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.
Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda ya chuo kulia naona ubungo flyover na kushoto naziona Magufuli hostel.
Nitaendelea.........!
Maendeleo hayana vyama.
Yaani umetazama vyote Vyenye thamani ya Rais ukaona hostel ambazo hata KAM college wanazo nzuri tu. Na ukatazama vibgine vyote ukakosa ukaona Daraja la makutano la Ungungo.Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.
Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.
Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda ya chuo kulia naona ubungo flyover na kushoto naziona Magufuli hostel.
Nitaendelea.........!
Maendeleo hayana vyama.
Rais mzima miaka mitano ajivunie Hostel??Wote wamefanya mambo yao ila JPM ni mzalendo kuliko wote
Kwa hiyo hata Stieglers Gorge na kuhamia Dodoma tumsifu Nyerere?Flyover ni mradi toka enzi za Mzee wa Msoga.