Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Ulitaka wafanye nini mkuu?Wote wamefanya mambo yao ila JPM ni mzalendo kuliko wote
Kila awamu lazma itafanya tu...Sema kwakua ndiyo fashion ya sasa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wafanye nini mkuu?Wote wamefanya mambo yao ila JPM ni mzalendo kuliko wote
Kwa hiyo hata Stieglers Gorge na kuhamia Dodoma tumsifu Nyerere?
Miradi hii yote inaendelea kwa kulegalega na ktk miaka mitano ya mwanzo ya CCM Mpya hakuna mradi mmoja mkubwa unaoinufaisha nchi kwa ujumla au angalau Kanda moja ya mikoa ya Tanzania uliomalizika.
asante ....na ada udom nssf wanalipisha au?Hujui kitu bwana nenda zako. Kwanza nani kakuambia daraja la kigamboni ni la serikali.
Daraja la kigamboni na chuo cha udom ni vya nssf. Ukipita pale kigamboni wanaichaji hela ni wafanyakazi wa nssf.
Vipi marekebisho ya mikataba ya madini na mapato yake?
Serikali ya Tanzania yaanika mwelekeo wa bajeti yake 2019/2020 - Mwananchi
12 Mar 2019 · Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka wa fedha 2019/2020 inatarajia kukusanya na kutumia Sh33.1 trilioni
Huyo hakuna la maana alilofanya.
Acha sigara akili yako itatuliaJiwe juu ya mawe hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusambaza woga kwa watumish,kuharibu uchumi wa Nchi,kuleta nongwa ,fitina na kujipendekeza miongoni mwa makada wa mboga mboga
Anaye simamia ukusanyaji wa kodi ni nani na wengine(waliotangulia) walishindwaje kufanya yote hayo au walipa Kodi hawakuwepo? Tumia akili ndogo tu inatosha kuelewaUnauwzo mdogo sana wa kufikiri we mateka wa lumumba.
Hii nchi inajengwa na walipa kodi na sio ccm wala chadema wala magufuli lakini kwa wewe unaetegemea dada yako amfurahishe mumewe ndio upate kula hautakaa ufikirie hilo!
Uchapaji kazi gani wakati mnachukua mikopo kila kukicha?? Unaweza Kumsifia baba yako kukununulia Chupi kwa hela ya Mkopo, BumbaaaavMagufuli amekuja kufanya mambo mengi sana, Watanzania tutamkumbuka huyu Baba kwa uchapakazi na upendo wake kwa Nchi
Siamini Chama namwamini kiongozi was chama, huko nyuma hikichama kimefanya madudu mengiNakiamini sana Chama cha CCM katika uongoziwa Taifa hili,kuliko vyama vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako Tanzania inaweza kufanya yote bila kukopa au unamaani wasichukue mikopo kujenga miradi yenye tija. Fikiri kabla ya kuandikaUchapaji kazi gani wakati mnachukua mikopo kila kukicha?? Unaweza Kumsifia baba yako kukununulia Chupi kwa hela ya Mkopo, Bumbaaaav
We kama uko vibaya mfukoni usidhani wote, Fanya kazi halali ujipatie kipato. Serikali itajenga barabara, italeta umeme, itajenga hospitali uwe na afya itajenga shule usome lkn haitakupa ela ya kula mfukoni mwako.Mavi-Jana ya Tanzania ni mapunguani, yanafikri kukenga maflyover ndio maendeleo hayo! Hebu ulizeni raia walivyo chakali kwenye mifuko! Magu kafuta ajira serikalini raia wanalia!
Hakika mkuu!We kama uko vibaya mfukoni usidhani wote, Fanya kazi halali ujipatie kipato. Serikali itajenga barabara, italeta umeme, itajenga hospitali uwe na afya itajenga shule usome lkn haitakupa ela ya kula mfukoni mwako.
Umesema vema kwamba hakuna "instant result" kwenye uwekezaji wa kimkakati hivyo pia unatakiwa utambue hasara ya ATCL in first 3 years after launching isichukuliwe serious as long as in a long run shirika lina potential ya kumake profit lkn pia ATCL inaweza kuwa inapata hasara wkt huohuo ikichochea sekta nyingine specifically utalii kukua zaidi. Na kwa miradi mingine(almost yote) naona inahitajika sana na tulikuwa kidogo tumechelewa, ili kujenga uchumi ambao ni competitive tunahitaji low cost of production (means cheap and reliable energy/power so NHPP, cheap and quick transport so SGR), Tunahitaji mazingira bora ya biashara ambayo yanajumuisha pamoja na mambo mengine urahisi wa kusafiri from point A to B hamna haja ya kutumia SAA zima kutoka posta kwenda airport and how can u avoid that build mfugale flyover. In summary from kuongeza efficiency kwenye bandari zetu mpaka kukarabati shule kongwe impact yake (in short run na long run) is huge.Ni bahati mbaya sana hapa TZ watu wana ujuzi wa “kuhesabu miradi” hasa ya ujenzi na manunuzi kama kigezo cha maendeleo bila kuangalia mazingira (context) yake yote na matokeo halisi (impact) kwenye uchumi wa taifa na kuboreka kwa maisha ya wananchi.
Miradi ya aina hii mara nyingi inachangamkiwa na viongozi serikalini kwa vile inawezesha ufisadi mkubwa mkubwa na ni rahisi kuwaonyesha wananchi kama “maendeleo” (yanayoonekana kwa macho) huku kukiwa na uhakika kuwa hakuna mwenye jeuri ya kuhoji “value for money”. Tena mingine hulazimishwa hata bila kuwamo kwenye vipaumbele vya taifa. Kiongozi anaamua tu na “kutoa” pesa.
Pamoja na umuhimu wake, umakini mkubwa sana unahitajika katika kuelewa, kupanga, kugharamia na kutekeleza miradi ya aina hii ili iweze kuwa kigezo sahihi cha maendeleo. Leo hii, pesa kubwa ya pensheni za wastaafu kwenye mifuko ya hifadhi imeyeyuka, taifa limeelemewa na madeni makubwa, serikali inahangaika kukopa hata kwenye mabenki ya kibiashara angalau kujongeza utekelezaji wa “miradi ya kimkakati”. Halafu watu wanawahi hapa JF kutambiana kisiasa kuhusu “maendeleo makubwa” yanayofanywa na viongozi “wapendwa”. That’s too simplistic. Tusione kama Watanzania wote ni vilaza.
Itakuwa vyema zaidi tukituliza papara na kuvuta subira kuona mwelekeo mzima wa hii miradi na uchumi kwa ujumla. Hakuna kitu kama “instant results” kwenye uwekezaji wa kimkakati kitaifa. Pongezi za haraka haraka hazina tija. Hii si North Korea. Km nilishangaa sana kuona mwaka wa kwanza tu ATCL mpya kuanza kazi, manazi wakajitosa JF kutambiana na kubishana kwamba shirika limepata faida/hasara! Hizi jazba za kisiasa zinapoteza umakini katika uendeshaji wa nchi.
Hivi wewe ni mpuuzi au mpumbavu? Maana kama vile hujitambui.Huyo hakuna la maana alilofanya.
Chadema wakiona hii list wanachukia. Sasa hawa ni watu wa namna gani?1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
Alitangaza lini? Huyu si ndiye aliombwa salaryslip akaishia kukaua kale kajamaa?Mshahara wa rais Tanzania (JMK) ulikuwa USD 15000.00 kwa mwezi JPM kapunguza hadi USD 5000.00 kwa mwezi. Sasa unaweza kuona hapo Uzalendo wa JPM. ''mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.''