Mkuu coca cola mwanza (nyanza bottlers) unawajua wanahisa wake?Mzee wa COCACOLA pale Mwanza anaendesha biashara hiyo, pamoja na biashara nyingine nyngi na watoto na wajukuu wake ; sijui kama unafahamu hilo. Akisepa wataendesha wao. Mwingine, kwa mfano tu, ni Mzee Sykes! Hata Mzee Rupia! Hiyo ni mifano michache ya kutukuka!