+ Aljazeera wote wapo Grey...Vyombo vya habari Kenya vimeingia zone ipi?
Umejificha Mazwi au Kizwite?Ngoja niendelee kufichama mainione pasaka nami nafufuka na Yesu Kristu.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kajirudi mdogo mdogo[emoji4]lissu mwenyewe ameanza kujikosoa taratibu.rais ni taasisi kubwa mkuu inaendeshwa ki intelligensia ,hata rais wa Korea Kuna kpnd ilikuwa hvhv.
Ndo ubinadamu pengine.Absolutely...
Wewe umeeleweka...hayo mengine ya kuchokonoa chokonoa amekosea sana,ila tusimuhukumu ni udhaifu wake.
Tufunge mpaka+ Aljazeera wote wapo Grey...
kumbe mzee baba yupo
Kuyakashifu maneno matakatifu kunaonesha upumbavu uliokujaa kichwani. Hata kama siyo imani yako acha kukashifu imani za wenzio wewe Zuzu wa Lumumba. Unaiita biblia ..the so called? Foolish of your own type.Haki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.
Go Magufuli, tutaelewana tu mpaka nchi nzima wote tuwe angalau bila bila... Ni mwendo wa Fair play...
Hakika.Ndo ubinadamu pengine.
Mithali 27:1Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.
Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
Na angeuliza alipo raisi bila mbwembwe still watu wangejiongeza tu kuwa anaumwa ila serikali imeamua isiweke wazi.Hakika.
Kusema anaumwa sio shida,huko kwingine ni Ushambenga tuu!
Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? Tuwekee kifungu wewe bendera fuata upepoAkili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.
Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.
Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.
sijui nipasie evidence ya uhakika nijueWewe unafikiri Lissu ana disa tena? Lissu ni shoga. Hulijui hilo?
Wewe ambae unadindisha alafu mke wako anabanduliwa kila siku una faida gani?Wewe unafikiri Lissu ana disa tena? Lissu ni shoga. Hulijui hilo?
Sio mzee mgaya tena?
Mama yako au mlezi alikufundisha kuwa Kutoa haja kubwa ukiwa umesimama ni kosa kwa mujibu upi wa sheria?Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? Tuwekee kifungu wewe bendera fuata upepo
Mkuu, wananchi waelezwe nini wakati pembe la ng'ombe halifichiki?Pembe la ng'ombe halifichiki.
Waelezeni wananchi ukweli!
Uwezi onja pepo, huyo ali disco kifo, watu walishaandaa mahafali tayari na cheti waliprint.... Saizi naona anarudia paper lile lile. Mwambieni soft copy ya cheti ipo tayari, tarehe tu ndio ya kuchange.Nani wa risasi 33 alionja pepo huyo