Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Ungewashauri hao wazee wapambane na maisha yao. Maana mbona kama wanaishi maisha ya kubahatisha??? Msafisha viatu anavimba na Lisu???? Maajabu
 
Kuna watu wanaona sifa kuleta uzushi. TL amebugi sana. Kwani Rais hata kama anaumwa ni nongwa?
Yeye si binadamu kama wengine? Ila ni dhambi kubwa kutengeneza hii story waliyotengeneza. Wanastahili kuwajibika
Serikali ndo wanakosea kwa kutokutoa taarifa.
 
Hahaha hao wazee walisoma mpaka makerere Uganda!!! Wazee wa kashata hawa
 
Intelligensia ya kuua raia na kupiga risasi watu hawana makosa.

Alphonse Mawazo

Azory Gwanda

Ben saanane

Maiti zilizokuwa zinaokotwa mto rufiji

Hiyo ni mifano tu
Ukweli uliofichika.azol,alfonce,saa8 mbaneni mbowe atafungunguka yote.la sivyo mtachezewa akili sana.
 
Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua. Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?
 
Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Yeye mlimuomba radhi mlipomfanyia kila aina ya unyama?
 
Serikali ndo wanakosea kwa kutokutoa taarifa.

Sio kila ugonjwa ni kusema hadharani. Kama kweli yuko kwenye serious danger labda. Huu umbeya unatufikisha wapi? Tunapata nini kusambaza umbeya wenye taharuki kama huu? Na hatuna ushahidi wa aina yoyote kuhalalisha umbeya wenyewe
 
Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Lissu amelikoroga,asubiri kulinywa.Kwetu sisi wengine amevuka "Red Line."
 
Eti huyu ndiye aliyetaka kuwa Rais wa Watanzania,leo Ulaya wanemteua kuwa mtetezi wa mashoga Ulaya! Dah.CHADEMA mpo?Doesn't this explain it all?

Richard
Umeandika utumbo Mwingi sana.

Nani amekuwa misinformed na Lissu hapa ?
Na kwanini wenye correct information wasiitoe na ku clear atmosphere ?
Badala ya kuanza kumlaumu Lissu why Mzee Baba asitoke hadharani kutuliza ha watu mnaosema wamepatwa na Taharuki ?
How much does it cost ?
Msitupangia wa kumuamini
 
Je, endapo taarifa ya Lissu yakawa hivyo hawa ficha ficha watasema nini mbele ya watanzania?
Hata kama ni kweli kuna muda wake wa kulizungumzia sio mtu anakurupuka tu, na kuzua taharuki, asijisahau atambue kwamba yeye ni mtu wa kawaida sana labda kwenye chama chake,
 
@richard
Umeandika utumbo Mwingi sana.

Nani amekuwa misinformed na Lissu hapa ?
Na kwanini wenye correct information wasiitoe na ku clear atmosphere ?
Badala ya kuanza kumlaumu Lissu why Mzee Baba asitoke hadharani kutuliza ha watu mnaosema wamepatwa na Taharuki ?
How much does it cost ?
Msitupangia wa kumuamini
Sasa Lissu mtetezi wa mashoga Ulaya 👇ndiye wa kumuamini!Akili zingine.

Back
Top Bottom