Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Hizi ni dua za kuku.Mataga mmekuwa Yatima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni dua za kuku.Mataga mmekuwa Yatima
haya Sasa ,rais wenu ndo wamemuajiri balozi wa tabia za sodoma na gomola.naamini hata ww wangekuteua hiyo kazi ungeikataa,si ndio mkuu.Nimesoma sijafika hata katikati nimeshikwa na kimuhe cha kumjibu mleta mada. Hiyo "GREY ZONE" hata iwe black, LISSU Level nyingine bro.... mtabakia na maneno makavu hapo Lumumba.
unyama amefanyiwa na chama chake.picha tunaiona.siri iliyofichwa kwa code za kiapo kikali.Yeye mlimuomba radhi mlipomfanyia kila aina ya unyama?
Nani alikuambia Mungu anabariki maibilisi .Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Maccm wanahangaika sana na TL. Yeye hajasema kuwa JPM kafa ila anahoji yuko wapi? Ni mzima au anaumwa? Kwa hiyo kosa la TL ni kuuliza aliko JPM?Kwanini mkilala mkiamka mnahangaika na LISU, ni kwa nini lakini nyie vijana wa LUMUMBA?. Kwa nini msihangaike kujua Rais wetu yuko wapi?.
Usiitukane bible kisa uelewa wako mfupi hata kwa lugha yako nwenyewe ya kiswahili. Mwizi anajiongezea au anaongezewa? Yani unaelewa hata tofauti ya kuongezewa na kujiongezea kweli?Haki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.
Go Magufuli, tutaelewana tu mpaka nchi nzima wote tuwe angalau bila bila... Ni mwendo wa Fair play...
Mpaka wawe na akili hizo mkuu za kusoma codes,Pembe la ng'ombe halifichiki buda, waziri mkuu sio fala kutamka yale aliyotamka tena kwa kejeli. Muwe mnasoma hata code watu wazima na wenye mamlaka wakizungumza. Hata kama alikuwa na tatizo, kwa sasa atakuwa fit ndio maana waziri mkuu akalihakikishia taifa.
Achana na viongozi wa taasisi hewa, hazina hata ofisi.
Lisu kabla ya uchaguzi,: mimi ni mfu, siogopi chochote, mwaka huu hapatatosha.Achana na story za hao wazee waliofiriska kiakili..
Hakuna mtu wa kumuweka TL kwenye Grey Zone kwa namna yoyote ile..
Historia ya TL kuruka viunzi inazungumza hivyo..
Kama unabisha L, muulizeni yule jamaa anaepumlia mashine.
We hujui hicho kiswahili kabisa, angalau hata mimi nina ahueni, nani katukana Bible, kupingana na Bible sio matusi mjomba bali ni upana wa kifikra, haijazaliwa bali imetengenezwa na wazawa wa hii dunia.Usiitukane bible kisa uelewa wako mfupi hata kwa lugha yako nwenyewe ya kiswahili. Mwizi anajiongezea au anaongezewa? Yani unaelewa hata tofauti ya kuongezewa na kujiongezea kweli?
Hivi jamaa ameenda leo kanisani kweli?Achana na story za hao wazee waliofiriska kiakili..
Hakuna mtu wa kumuweka TL kwenye Grey Zone kwa namna yoyote ile..
Historia ya TL kuruka viunzi inazungumza hivyo..
Kama unabisha L, muulizeni yule jamaa anaepumlia mashine.
Kwahiyo afanyiwe ni chama chake nyie ccm na policcm wakekimya?unyama amefanyiwa na chama chake.picha tunaiona.siri iliyofichwa kwa code za kiapo kikali.
Angekuwa na akili timamu angeshaomba radhi tayari, lakini lisu hana akili timamu, uwezo wake wa kuelewa mambo ya kawaida ya maisha ni zero, hawezi kuomba radhi hata siku moja.Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Angekuwa na akili timamu angeshaomba radhi tayari, lakini lisu hana akili timamu, uwezo wake wa kuelewa mambo ya kawaida ya maisha ni zero, hawezi kuomba radhi hata siku moja.
Mkuu kale pilau lako , ufurahie maisha yako vizuri na walio kuzunguka. Hii nchi Mungu ndio ajuae mioyo ya watu wake, ni tafrani tupu.Mleta mada mm naona hiyo grey zone itakuwa ya kawaida kwa lissu. Kuna grey zone zaidi ya risasi zile zote mwilini mwake? Kweli anaweza ogopa jambo jingine?
Hata hivyo hao wazee walikusimulia mengi.