sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Kabisa.Mataga mbona mnateseka sana,kama ni uzushi dawa yake ni kuupuuza na kuendelea kuchapa kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Mataga mbona mnateseka sana,kama ni uzushi dawa yake ni kuupuuza na kuendelea kuchapa kazi.
Inapaswa ukiwa na akili, basi tafuta hekima kwa nguvu sana.Akili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.
Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.
Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.
Wewe dogo unajifanya unashabikia upuuzi. Utafanyiwa mbaya wewe bwege.Amina noted.............. kweli wenye akili ndo wataelewa what you meant... have nice weekend
Mpaka sasa unafahamu Jiwe alipo?Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Kosa la TL ni kuulizia alipo mwajiriwa wetu namba wahedi,JIWE!Kosa la Lissu n nini?
Ni kweli kwa sasa habari ipo viral mtaani, jana kuna rafiki yangu si mtu wa kwenye mitandao sanaBila rais wetu kuonekana hadharani bado iko shida, mtaani watu wameanza kunong'ona...
Trump angekuwa Tz, mgekuwa mnasema mi 4 tena.Ni ngumu sana kucheza na siasa za mitandao na ukikosea mahala ndo inakuwa mwisho wako kisiasa.
Donald Trump ni mfano mzuri tu, alikotoka na aendako kisiasa sote twafahamu.
Ni kweli twaishi ili tufe lakini staha, ujuvi na namna ya kuogelea kwenye maji yalotulia ni jambo la busara.
Kuna msemo wa zamani kidogo wa kiingereza wasema "Still Waters runs deep".
Ndo maana sisi binadamu watakiwa kuingiza mguu mmoja tu kufanya tathmini.
Wataka kusemaje hapa?Hao wazee wa Pwani watakuwa wanajua kinachojiri.Jiwe amepata patashika punde tu alipotangaza kulisambaratisha Jiji la Dar es Salaam bila kuwashirikisha hawa wazee.Labda tuwaulize hao wazee wamemfanya nini Jiwe?
Radhi kwa lipiTundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Ndiyo Ukweli WenyeweKiufupi, KIMEUMANA.
Mkuu nimekuelewa sana tena sana kwa bandiko lakoNi ngumu sana kucheza na siasa za mitandao na ukikosea mahala ndo inakuwa mwisho wako kisiasa.
Donald Trump ni mfano mzuri tu, alikotoka na aendako kisiasa sote twafahamu.
Ni kweli twaishi ili tufe lakini staha, ujuvi na namna ya kuogelea kwenye maji yalotulia ni jambo la busara.
Kuna msemo wa zamani kidogo wa kiingereza wasema "Still Waters runs deep".
Ndo maana sisi binadamu watakiwa kuingiza mguu mmoja tu kufanya tathmini.
Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli