Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ungewashauri hao wazee wapambane na maisha yao. Maana mbona kama wanaishi maisha ya kubahatisha??? Msafisha viatu anavimba na Lisu???? Maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ndo wanakosea kwa kutokutoa taarifa.Kuna watu wanaona sifa kuleta uzushi. TL amebugi sana. Kwani Rais hata kama anaumwa ni nongwa?
Yeye si binadamu kama wengine? Ila ni dhambi kubwa kutengeneza hii story waliyotengeneza. Wanastahili kuwajibika
Ukweli uliofichika.azol,alfonce,saa8 mbaneni mbowe atafungunguka yote.la sivyo mtachezewa akili sana.Intelligensia ya kuua raia na kupiga risasi watu hawana makosa.
Alphonse Mawazo
Azory Gwanda
Ben saanane
Maiti zilizokuwa zinaokotwa mto rufiji
Hiyo ni mifano tu
Huko alipo sijui atawaambiaje mabosi wake wanaomlisha.kuwalisha matango.na ss huku tunamsubl lugha atakayoitumia kutuomba radhi watz.Radhi kwa lipi
kwa akili Kama hizi[emoji115],lazima mbowe awachezeshe kwata.poor reasoning,poor judgement.shida ni poor IQ.aje akuombe wewe una nini hasa zaidi ya matako
Kuwa na msimamo basi, hueleweki. Nafikiri kwa makalio, bichwa limejaa mavi au vyote kwa pamoja?Wewe bichwa lako limejaa mavi, unafikiri kwa makalio
Upo sahihi kabisa mkuu.Inapaswa ukiwa na akili, basi tafuta hekima kwa nguvu sana.
Maana kuwa na akili bila hekima ni janga pia
Yeye mlimuomba radhi mlipomfanyia kila aina ya unyama?Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Serikali ndo wanakosea kwa kutokutoa taarifa.
Lissu amelikoroga,asubiri kulinywa.Kwetu sisi wengine amevuka "Red Line."Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Hata kama ni kweli kuna muda wake wa kulizungumzia sio mtu anakurupuka tu, na kuzua taharuki, asijisahau atambue kwamba yeye ni mtu wa kawaida sana labda kwenye chama chake,Je, endapo taarifa ya Lissu yakawa hivyo hawa ficha ficha watasema nini mbele ya watanzania?
Sasa Lissu mtetezi wa mashoga Ulaya 👇ndiye wa kumuamini!Akili zingine.@richard
Umeandika utumbo Mwingi sana.
Nani amekuwa misinformed na Lissu hapa ?
Na kwanini wenye correct information wasiitoe na ku clear atmosphere ?
Badala ya kuanza kumlaumu Lissu why Mzee Baba asitoke hadharani kutuliza ha watu mnaosema wamepatwa na Taharuki ?
How much does it cost ?
Msitupangia wa kumuamini
Mataga mmekuwa YatimaSasa Lissu mtetezi wa mashoga Ulaya [emoji116]ndiye wa kumuamini!Akili zingine.