Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Haki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.

Go Magufuli, tutaelewana tu mpaka nchi nzima wote tuwe angalau bila bila... Ni mwendo wa Fair play...
Kuyakashifu maneno matakatifu kunaonesha upumbavu uliokujaa kichwani. Hata kama siyo imani yako acha kukashifu imani za wenzio wewe Zuzu wa Lumumba. Unaiita biblia ..the so called? Foolish of your own type.
 
Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.

Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
Mithali 27:1
'Usijisifu kwa ajili ya kesho,
kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja'
 
Akili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.

Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.

Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.
Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? Tuwekee kifungu wewe bendera fuata upepo
 
Huu upupu ndio unafanya mnaenda choo..
Viongozi nao wamewekeza kwa wajinga kama hawa..
 
Mleta mada mm naona hiyo grey zone itakuwa ya kawaida kwa lissu. Kuna grey zone zaidi ya risasi zile zote mwilini mwake? Kweli anaweza ogopa jambo jingine?

Hata hivyo hao wazee walikusimulia mengi.
 
Nani wa risasi 33 alionja pepo huyo
Uwezi onja pepo, huyo ali disco kifo, watu walishaandaa mahafali tayari na cheti waliprint.... Saizi naona anarudia paper lile lile. Mwambieni soft copy ya cheti ipo tayari, tarehe tu ndio ya kuchange.
 
Back
Top Bottom