Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Inapaswa ukiwa na akili, basi tafuta hekima kwa nguvu sana.

Maana kuwa na akili bila hekima ni janga pia
 
Amina noted. Kweli wenye akili ndo wataelewa what you meant, have nice weekend.
 
Habari nzima ni upuuzi na ujinga mtupu.

Kama kila mtu ataleta hadithi za vijiwe vya kahawa na vya kusafishia viatu, hapa jukwaani, jukwaa halitakuwa la greater thinkers tena, litakuwa jukwaa la wajinga na wambeya.

Siku nyingine ukisikia umbeya kutoka kijiwe kimoja, beba huo umbeya wapelekee wambeya wa kijiwe kingine. Hili jukwaa lililenga mijadala ya watu wenye uelewa kwaajili ya kujadili hoja na siyo umbeya.
 
Kosa la Lissu n nini? Maana habari zote zimetoka kwenye media Kenya. Kila habari iwe nzuri au mbaya lazima ijulikane.
 
Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Mpaka sasa unafahamu Jiwe alipo?
 
Hao wazee wa Pwani watakuwa wanajua kinachojiri.Jiwe amepata patashika punde tu alipotangaza kulisambaratisha Jiji la Dar es Salaam bila kuwashirikisha hawa wazee.Labda tuwaulize hao wazee wamemfanya nini Jiwe?
 
Bila rais wetu kuonekana hadharani bado iko shida, mtaani watu wameanza kunong'ona...
Ni kweli kwa sasa habari ipo viral mtaani, jana kuna rafiki yangu si mtu wa kwenye mitandao sana

alinipigia simu akaniuliza mzee: eti naskia mzee anaumwa sana

Nikamwamuuliza mzee gani

Akanambia si mzee wa kazi na wewe, kicha akaongeza naskia eti yupo india

Nikamjibu tu eeh kaka tuchat nikakata simu
 
Trump angekuwa Tz, mgekuwa mnasema mi 4 tena.
 
Hao wazee wa Pwani watakuwa wanajua kinachojiri.Jiwe amepata patashika punde tu alipotangaza kulisambaratisha Jiji la Dar es Salaam bila kuwashirikisha hawa wazee.Labda tuwaulize hao wazee wamemfanya nini Jiwe?
Wataka kusemaje hapa?
 
Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Radhi kwa lipi
 
Mkuu nimekuelewa sana tena sana kwa bandiko lako
 
Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli

Kuna watu wanaona sifa kuleta uzushi. TL amebugi sana. Kwani Rais hata kama anaumwa ni nongwa?
Yeye si binadamu kama wengine? Ila ni dhambi kubwa kutengeneza hii story waliyotengeneza. Wanastahili kuwajibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…