Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Vipi muendelezo wa Mzee Uledi alisemaje kuhusu Mzee wa Pwani? Maana nao ile post moderators waliikwanyua..
 
AUWAE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA PIA.Damu za watu zinawalikia
 
Huyu baba anawapenda sana watanzania lakini watanzania baadhi yao wamekuwa wasaliti kwa nchi yao
Baba wa watu inawezekana yuko kwenye maombi ya kufunga kajifungia mahali ili apate majibu ya matatizo ya watanzania ili iondokanae na umasikini ,korona, nk LAKINI NAAMINI KWA MSAAADA WA MUNGU TUTASHINDA SANA NA WATESI WATAAIBIKA SANA TU
 
Absolutely...

Wewe umeeleweka...hayo mengine ya kuchokonoa chokonoa amekosea sana,ila tusimuhukumu ni udhaifu wake.

Kuchokonoa chokoa kwani ni chaza hiyo ?? Raisi mnamfanya kuliko Mungu ?? asisemwe , mtu anayekula na kwenda haja kama wewe
 
Kwani Mzee Kambona alipokimbilia uingereza ndio aliens kukaa kimya! Aliendelea kuvurumisha makombora toka tuko aliko na yalikuwa yanampata sawasawa mzee mchonga. Sema zama hivi za smartphone ndio tunasikia mengi.



 
Its too late (in my opinion). Ile siku "kulivyozushwa" yupo Nairobi au kapelekwa India, ndio ilikuwa siku nzuri ya kuwaumbua "wazushi" wote akiwemo TL, kwa jamaa kujitokeza akichapa kazi zake!

Sasa hii delay yote hata akija kutokeza baadae, itaondoa uzushi wa kifo tu lakini ule wa kuumwa (mahututi) utabakia.

Kuna kitu hakijakaa sawa katika kushughulika na uzushi huu.
 

Serikali hii yote na viongozi wake hawaaminiki asilani....

"CODE" ya PM kila mtu anaweza kuielewa kirahisi, kuwa, imejaa mashaka na hofu kuu...

Kama waliweza kutudanganya mchana kweupe kuwa Rais Magufuli ameshiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku ukweli kumbe aliyeshiriki akiwa VP Mama Samia Suluhu unaweza kuwaamini vipi hata kwa hili...???

IT'S IMPOSSIBLE...!!

Huu ni utawala uliofitinika kwa 100% na anguko lake la aibu liko karibu mno, mtaona...
 
Bado naamini huyu ni raia huru wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.Ana haki kama raia mwingine Yeyote kushiriki na kuchangia kwa kuuliza au kwa kushauri.mradi haendi kinyume na katiba.

Sioni kama kuna tatizo lolote kuuliza kiongozi wa nyumba kumi alipo.

Hata yule Dr.Anayepanga alitoweka ghafla.Wananchi wakauliza.Mara akajitokeza na kutoa hotuba.Halafu akapotea tena kwa muda na juzi akaibuka tena.

Hivyo hakuna ubaya wowote kuuliza kiongozi alipo kama hataonekana kwa kipindi fulani.Wananchi walichagua viongozi wao,Hivyo wana haki ya kuuliza walipo kama watapotea ghafla.
 

yupo wapi idd amin dada, yupo wapi mobutu na the likes ? be humble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…