muyango09
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 173
- 151
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba nchi na vyombo vyote vya dola vimeingia kwenye vita na Tundu Lissu. A bit petty i would say [emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba nchi na vyombo vyote vya dola vimeingia kwenye vita na Tundu Lissu. A bit petty i would say [emoji57]
Lisu hana akili timamu.Unaakili timamu wewe.
Simple like that.🤓🤓🤓🤓
AUWAE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA PIA.Damu za watu zinawalikiaHaki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.
Go Magufuli, tutaelewana tu mpaka nchi nzima wote tuwe angalau bila bila... Ni mwendo wa Fair play...
Umeona eeh? Bongo kuna vituko. Mwili ulifumuliwa kama net at leo aje aogope sijui grey nn dah.Mkuu kale pilau lako , ufurahie maisha yako vizuri na walio kuzunguka. Hii nchi Mungu ndio ajuae mioyo ya watu wake, ni tafrani tupu.
Tena mpiga kiwi wa kariakoo anamtishia nguli wa siasa na Sheria aliyeko Belgium kweli Tanzania kila mtu ni comedianEti mtu anamtishia TL!!!
Absolutely...
Wewe umeeleweka...hayo mengine ya kuchokonoa chokonoa amekosea sana,ila tusimuhukumu ni udhaifu wake.
Yuko wapiiii Meko😎👹👹🐍Jana ameanza kurukaruka tena anasema rais ni mwenye mamlaka makubwa na blahblah za kutoshaa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Leo hajaonekana kanisani tenaHuko alipo sijui atawaambiaje mabosi wake wanaomlisha.kuwalisha matango.na ss huku tunamsubl lugha atakayoitumia kutuomba radhi watz.
Hiyo ratiba ,hakuwa nayo kwa leo.ni mwishoni mwa mwezi huu.sasa hesabu itakuwa tar.ngapi.Leo hajaonekana kanisani tena
Kulikoni!
Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.
Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
Pembe la ng'ombe halifichiki buda, waziri mkuu sio fala kutamka yale aliyotamka tena kwa kejeli. Muwe mnasoma hata code watu wazima na wenye mamlaka wakizungumza. Hata kama alikuwa na tatizo, kwa sasa atakuwa fit ndio maana waziri mkuu akalihakikishia taifa.
Achana na viongozi wa taasisi hewa, hazina hata ofisi.
Bado naamini huyu ni raia huru wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.Ana haki kama raia mwingine Yeyote kushiriki na kuchangia kwa kuuliza au kwa kushauri.mradi haendi kinyume na katiba.Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.
Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
Alipojificha akitoka Kama ni mtu mwenye utashi ataomba radhi kwa kuwatendea watanzania mema,Ataacha kuvunja haki na kuona yupo juu ya Sheria.
Atakumbukwa kwa lipi?
Jema au baya...
Tunaishi tufe...vyeo na madaraka vinaisha tu.
Yuu wapi.. Hitler
Benito Musolini
And the so like...