Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

Nimefurahi sana ulipomtolea mfano Donald Trump Rais aliyependa kuzungumza kila kitu kwenye twitter na hata akionywa na kufungiwa akaunti akirudi ni kama jana. Marais wa Afrika walimsikia na raia zake wa dini na rangi tofauti nao wakamsikia na kumfahamu.
 
Waeneza ujumbe ndiyo wanaumia ambao ni wananchi wa kawaida sana ila mtoa ujumbe yupo ng'ambo ana enjoy na familia yake
 
Mtapiga kelele nyingi lakini ukweli upo palepale, taifa linavonja haki za kibinadamu huzalisha chuki.
Haki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.

Go Magufuli, tutaelewana tu mpaka nchi nzima wote tuwe angalau bila bila... Ni mwendo wa Fair play...
 
tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone,Sasa ajiandae kisaikolojia,maana zone aliyofika sio shwari kbsa.kweli kuujua undani wa mtu inagharama.aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Nani wa risasi 33 alionja pepo huyo
 
Kwamba nchi na vyombo vyote vya dola vimeingia kwenye vita na Tundu Lissu. A bit petty i would say [emoji57]
Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.

Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
 
Acha upimbi wewe, mlimpiga risasi mchana kweupe Mungu amemlinda ndio mtashinda kwa porojo za kipuuzi?
 
Akili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.

Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.

Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.
 
tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone,Sasa ajiandae kisaikolojia,maana zone aliyofika sio shwari kbsa.kweli kuujua undani wa mtu inagharama.aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
LISSU atuombe radhi kwa kosa gani labda? Kuuliza alipo Rais ni kosa? Yesu alipohisi kutokuwepo kwa Mungu aliuliza alipo, inakuwaje kosa kwa binadamu kuuliza alipo binadamu mwenzake anapoona haonekani kwenye shughuli za kijamii? Kwenu Mzee Kipara asipoonekana kwenye vikao 3 vya kijiji hamuulizani kilichompata? Mbona mnaanza kuwa madikteta hata nyie raia wa kawaida?
 
Akili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.

Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.

Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.
Absolutely...

Wewe umeeleweka...hayo mengine ya kuchokonoa chokonoa amekosea sana,ila tusimuhukumu ni udhaifu wake.
 
Back
Top Bottom