Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa atawapa tabu sana nyie Mataga, lakini anaweza kuwa ndiye ajira yenu wazee wa buku 7Hakuna haja ya maombi; Lisu ni muongo tangu alipokatiwa mrija wa makampuni ya madini!
Haki za wezi ni korokoroni, haki ya mafisadi ni kufirisiwa ama kunyang'anywa Kama walivyo nyang'anya wao pia... Jino kwa jino, hakuna cha aliyenacho ataongezewa, maneno yanayorasimisha wizi kwenye the so called maandiko matataka-(tifu) fujo.Mtapiga kelele nyingi lakini ukweli upo palepale, taifa linavonja haki za kibinadamu huzalisha chuki.
Nani wa risasi 33 alionja pepo huyotundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone,Sasa ajiandae kisaikolojia,maana zone aliyofika sio shwari kbsa.kweli kuujua undani wa mtu inagharama.aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Bila rais wetu kuonekana hadharani bado iko shida, mtaani watu wameanza kunong'ona...
lissu mwenyewe ameanza kujikosoa taratibu.rais ni taasisi kubwa mkuu inaendeshwa ki intelligensia ,hata rais wa Korea Kuna kpnd ilikuwa hvhv.Je, endapo taarifa ya Lissu yakawa hivyo hawa ficha ficha watasema nini mbele ya watanzania?
Intelligensia ya kuua raia na kupiga risasi watu hawana makosa.lissu mwenyewe ameanza kujikosoa taratibu.rais ni taasisi kubwa mkuu inaendeshwa ki intelligensia ,hata rais wa Korea Kuna kpnd ilikuwa hvhv.
Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.Kwamba nchi na vyombo vyote vya dola vimeingia kwenye vita na Tundu Lissu. A bit petty i would say [emoji57]
Acha upimbi wewe, mlimpiga risasi mchana kweupe Mungu amemlinda ndio mtashinda kwa porojo za kipuuzi?Si alitaka hivyo? Mwache akione sasa xha mtema kuni. Nafikiri sasa amechokoza nyuki kwenye mzibga wake upande mmoja na upande mwingine amezitekenya shuruba za simba. Pande zote mbili hizi hazita mwacha salama na ambition yake ya kuwa Rais wa Tanganyika kwa nguvu za fedha za mabeberu hiyo sasa imekuwa ni hadithi.
Lissu hata ingia tena nchini hata iwe vipi.
LISSU atuombe radhi kwa kosa gani labda? Kuuliza alipo Rais ni kosa? Yesu alipohisi kutokuwepo kwa Mungu aliuliza alipo, inakuwaje kosa kwa binadamu kuuliza alipo binadamu mwenzake anapoona haonekani kwenye shughuli za kijamii? Kwenu Mzee Kipara asipoonekana kwenye vikao 3 vya kijiji hamuulizani kilichompata? Mbona mnaanza kuwa madikteta hata nyie raia wa kawaida?tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone,Sasa ajiandae kisaikolojia,maana zone aliyofika sio shwari kbsa.kweli kuujua undani wa mtu inagharama.aje atuombe radhi watz tutamuelewa.
Absolutely...Akili zikizidi ukasifiwa sifiwa sanaa ukaanza kujifanya ww una akili za ziada hadi mambo ya kawaida unataka kutumia akili zisizokuwepo. Ndo alichofanya TL sasa.
Unakuwa wa kwanza kutoa taarifa raisi yupo Nairobi sijui India kwanini? Mbio mbio za kutangulia kutaka kuuonyesha uma kuwa upo informed na unajua ni makosa makubwa sana.
Tl bora angeishia kuuliza tu raisi yupo wapi? Tena kwa sababu hakukubali matokeo angeuliza JPM yupo wapi? Halafu akanyamaza ila alichokifanya ni kosa.